Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

Kwa hiyo kubana njia wamejifunza baada ya kupigwa na waarabu?
 
Uholanzi wanatimu nzuri sana. Ila kocha wao simuelewi kwa nini anamuanzisha bechi teun Koopmeiners
 
Natarajia kuona kati ya timu hizi; Brazil, France, Netherland na Spain zikifika nusu fainali. Unless otherwise kama kati yao zitakutana kwenye hatua inayofuata ya robo fainali.

Waingereza na Wareno, nawaona kama wachumba tu.
Bahati mbaya wachumba wako bado wapo na kidume chako Spain amepigwa 3 safi sasa wako Madrid mtaani
 

Halafu anakuja mtu hapa eti vamoos brazil 😄😄 mwanaume mzima unashabikia timu ya akina mama na watoto 😄😄
 
Ndoto za mchana zinafurahisha,,, ni nani aliyekupa uhakika wa mholanzi kufungwa na Argentina tuanzie hapo maana ushaiona hadi nusu fainali kwa mujibu wa ndoto yako
Kijana leta sura yako hapa
 
Dogo uwe unatusikiliza wakongwe. Nimeangalia makombe ya dunia saba.
 
UPO SAWA ,TATHIMINI YAKO NI SAHIHI.
 
Sidhani kama unawafahamu Croatia vizuri. Tutarudi hapa ijumaa saa mbili usiku.
tumerudi aisee. ILA NASEMA HAPA ARGENTINA ANATOLEWA NA UHOLANZI. Ulaya wanacheza mpira wa viwango tofauta na wengine wanategemea sifa za kijinga, majina na ubishoo kama brazil.
 
tumerudi aisee. ILA NASEMA HAPA ARGENTINA ANATOLEWA NA UHOLANZI. Ulaya wanacheza mpira wa viwango tofauta na wengine wanategemea sifa za kijinga, majina na ubishoo kama brazil.
Mkuu Argentina ndio mabingwa wa mwaka huu, hawaendi kokote. Mpira wao uko compact sana hivyo watafanikiwa kubeba kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…