Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

Boss em njoo na thread ya kutabiri bingwa wa kombe la dunia

Mbona kama unaenda mule mule namna unavyotabiri..
 
hapana. Croatia ni bora kuliko holland na ndio mwisho wa argentina. ENGLAND WANACHUKUA KOMBE.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kila siku mnakuja na kauli kama hizo lakini Argentina wanachanja mbuga. Mechi itakuwa kali sana.
 
Bishoo Neymar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…