Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mnapoona wanaingia madarakani hadi wanauwana wakati wa Uchaguzi nyie mnadhani wanaenda kucheza??Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
Acha wajilipe ujira wao wa roho ngumu.