babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kwa akili yako unadhani ni nani?Nilidhani ungejikita zaidi kama kuna Waziri katika Taifa hili kanunua hiyo Nyumba kwa that amount na ionekane kama ni jambo la kawaida kabisa. Nawe unakubali iwe hivyo...
Ni mwenyekiti wenu janjajanja na sio hiyo tu zipo nyingi sana.
Hakuna waziri yoyote anaweza fanya ujinga huo,akiwepo ni February labda.
Wengine wanajenga hapohapo majumba ya kuishi watu 20 bila wasiwasi.