MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Unafikiri wamasai wanahamishwa bure serengeti mbuga zote zimeuzwa,bandari ndio kabisaaaa watu mnaamka leo hii?,too late jiwe litakumbukwa daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkitaka kujua ukweli kuhusu ufisadi nendeni maeneo ya MBWENI, muone mijengo ya maana wamewekewa na lami hadi magetiniThen hata akiwataj hatua gan watachukuliwa na naaan wa kuwachukulia hatua? Mfumo wa kifisadi hakuna wa kumkamata mwingine!!!
Hamas wenyewe wahuniNdio sababu Hamas wanaumaliza Ulimwengu huu wa Wahuni ili Dunia ianze upya
>Na wale dada poa kabla ya ku proof wameanza kujitia majonzi ya kinafiki... Kana kwamba hilo ni la kweli.
Na zile za mzalendo wenu baba ya wanyonge mlishazifuatilia alikokuwa ameficha?, na ile tril 1.3 aliyopiga naye akapigwa umeshaifuatilia? 😂😂Pumbavu kabisa, jitu linanunua nyumba ya bil25 ughaibuni huku alikotoka kwao watu wanashindwa kusoma kisa hakuna madarasa wala vifaa wakati hiyo hela ingeweza kujenga majengo ya shule ya kutosha na ndugu zake weusi wakapata elimu.
Kuna haja ya kufungua kesi mahakama za kimataifa kuiomba jumuiya ya kimataifa itusaidie kila tunapoomba misaada basi wao wataifishe mali za hawa viongozi na hizo hela watupe tu huku.
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?
Wapumbavu sana hawa wanasiasa.Kama hamuwataji hao viongozi fungeni midomo yenu
Acheni ujinga kuleta majungu yasiyo na maana
Pambavu kabisa. Endelea kula MakandeHao ni machadema tuu!!!
Hivi kwa akili ya kawaida hao viongozi wanaojifanya kuwalipua wengine mnadhani hawatamani kama wao ndio wangekuwa wameiba? Iwe wao!Pambavu kabisa. Endelea kula Makande
Huyo kanyimwa Asali tu hana lolote.Ukiona kiongozi wa bongo anaropoka kama ivi ujue.....kuna mgao hamjafikia...sasa zile hasira zinashia kama hv
Watetezi wapo isipokuwa tunajificha nyuma ya migongo yao, watanzania wanaogopa kudai haki za mafao yao ya kuachishwa kazi!Tunaibiwa sana WaTz.
HATUNA MTETEZI KABISA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nilidhani ungejikita zaidi kama kuna Waziri katika Taifa hili kanunua hiyo Nyumba kwa that amount na ionekane kama ni jambo la kawaida kabisa. Nawe unakubali iwe hivyo...Huyo kanyimwa Asali tu hana lolote.
Walioficha pesa awamu ya 5 wao walikuwa hawawaibii?Tunaibiwa sana WaTz.
HATUNA MTETEZI KABISA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Huyo waziri hana jina.Watanzania wengi wanapenda sana majungu na uzushi. Weka the record wazi waziri anaitwa nani?Isije ikawa riwaya za Ali NachaNilidhani ungejikita zaidi kama kuna Waziri katika Taifa hili kanunua hiyo Nyumba kwa that amount na ionekane kama ni jambo la kawaida kabisa. Nawe unakubali iwe hivyo...
Mkuu hata ushahidi ukija tutawafanya Nini? Kama watu wanapora chaguzi za nchi, na vyombo vya Dola vinaona fahari kulinda uchafu wa hivyo unayegemea nini? Mfano mrahisi wa hili suala la DP World, rais wetu kasaini kabisa, lakini hakuna popote kiongozi mkubwa wa Dubai kasaini, na jambo hilo limepelekwa mahakamani lakini mahakama ikawa upande wa majizi. Ni hatua Gani tumechukua?Hamis yeye akusanye ushahidi atuambia fulani na fulani wamenunua nyumba ughaibuni kwa price hii na ushahidi huu.
Kwani wanachaguliwa tena siku hizi, ama wanapora chaguzi? Unasikia watu wa jeuri hawataki tume huru ya uchaguzi, lengo ni kuhakikisha majizi yanazidi kubaki madarakani kwa shuruti ili waendelee kutuibia, na kulinda Mali za wizi.Wanacheza na kalamu kulingana na cheo chake. Wakipata kazi, kitu cha kwanza "chukuwa chako mapema ". Ndivyo ilivyo kwa viongozi wengi wa Afrika. Tuwe makini, badala ya kuchagua viongozi tunachagua "wezi".