Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

Ni kweli usemalo.... ubavu huo hatuna kwa sababu tumejawa na UNAFIKI na UOGA!

Akidakwa mmoja siku hiyo atataja wote!

Ila huenda labda siku moja miaka mingi inayo watakaokuwepo wataamka. Na labda hao wanajeshi na Usalama wa taifa waache Unafiki na Upumbavu!
Yes mkuu, Tiss ipo kulinda status ago, tiss ya uhalika iliyokuwa na heshima ni ya awamu ya kwanza tu,zingine wapigaji tu
 
Mkuu kwa watanzania ni ukipata gap piga hela,angalia mabilionea uchwara wa customs wanavyoibuka!,na hatuna tajiri hata mmoja mzawa!,tuliokua nao wote wana dual citizenship, tuendelee kusubiria Noah pale kilimanjaro, zinaletwa na meli na Italian nanga pale Moshi
Ukiiba kidogo wanakufunga uwe mfano kwamba wapo kazini
Pana madogo dollar 50 TU wamepigwa job out.
Hela ikiwa ndogo usiguse kabisa utapotea
 
Yeye si alimuhongaa Posh queen atulieee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii nchi kila mtu mwiziiiii
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwa masikini maana unawachukia masikini wenzako na pengine unawaumiza zaidi Ili wewe uonekane unawajali wenye neema...Ni laana ya aina fulani
Wapo maboss wapumbavu wanaowabania watu wasipige maofisini wakiamini watazikwa kazini uishia kufa masikini wakifyekwa na kikokotoo kama malipo ya uaminifu wao.
Wakati wa juu wanaenda nunulia mabus na malori
 
Linaweza kuwa kweli lakini hakuna unafiki mkubwa kama eti nimesikia
Mimi huwa hearsay sitilii maanani kabisa
Halafu anaeongea hivyo ni mtu mwenye uwezo wa kupata ripoti kamili badala ya kusema nimesikia
Kama unamwaga mboga achia kila kitu Sema fulani kanunua kama hawezi wapo wanaoweza kumsemea hivyo kina mange
Aende au atume mtu akahakikishe Dubai, piga picha hapo uliza hata mlinzi 😄 hii nyumba ya nani halafu weka hapa
Kama ni ubuyu awaachie kina dada
 
Bi Kizimkazi alishawaambia wale ila wasivimbiwe. Dubai wamekula kidogo, wakivimbiwa ni ile utasikia wamenunua ghorofa Wall Street huko Nyuyoko.
 
Bila kuleta ushahidi wa kutosha kwenye hii kauli yake hiyo ni hearsay.
Kama waziri wa zamani angekusanya hizo facts zake na kuleta habari kamili yenye ushahidi.Asipofanya hivyo hizo ni kutupa jiwe baharini na kutegemea italeta mabadiliko.Hamisi ashaauriwe aache tabia ya kuropoka bila hard facts.Inashusha hadhi yake na kuonyesha uwezo wake wa kufikiri ulivyo mdogo.
 
Wewe endelea kulalamikia tu. Hivi ulishajiuliza hao viongozi kwa nini hawataki kuachia Madara kirahisi na wako tayari damu imwagike ilimradi tu wabakie kwenye viti vya ufalume. Unadhani wao ni mazezeta. Changamka na wewe uchukue chako mapema, siku ukishtuka utakuta wengine Wana vyoo vya trioni ha ha ha ha
 
Bila kuleta ushahidi wa kutosha kwenye hii kauli yake hiyo ni hearsay.
Kama waziri wa zamani angekusanya hizo facts zake na kuleta habari kamili yenye ushahidi.Asipofanya hivyo hizo ni kutupa jiwe baharini na kutegemea italeta mabadiliko.Hamisi ashaauriwe aache tabia ya kuropoka bila hard facts.Inashusha hadhi yake na kuonyesha uwezo wake wa kufikiri ulivyo mdogo.
Haya mambo ya facts ndo jiwe alikuwa hapendi, aliona yanachelewesha hatua kuchukuliwa.
 
Tunaongozwa Na Majizi Tanzania, Dada Wa Nyama Ya Swala Iringa Amefungwa Miaka 30
Huku Mamlaka Za CCM Zikijifanya Kutetea Baadaye Zikamwacha

Vyombo Vya Ulinzi Vipo Ilitakiwa Hao Walionunua Wananchi Tujue Pesa Zimetoka Wapi
 
Haya mambo ya facts ndo jiwe alikuwa hapendi, aliona yanachelewesha hatua kuchukuliwa.
Kwa hiyo tuwe tunahukumu watu bila ushahidi?Yaani mjinga mmoja akikurupuka tu tukukamate na uwekwe ndani.Hata China wafujaji wa mali ya umma na wala rushwa wanapigwa risasi lakini ni baada ya kufikishwa mahakamani.
 
Kuna waandishi na wasanii baada ya kurudi toka Dubai wamejenga mahekalu yameisha na tunaanza kuyaona moja baada ya lingine,ndio maana walikuwa wanakomaa iwe jua iwe mvua lazima di pi dabiliyu wapewe bandari,ishi sio bandari ila kujengewa makasri yao.
 
Back
Top Bottom