Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

Akishasema ili iweje wakati wananchi wamelele fofofo? Hivi unadhani rais hajui haya? Hili ni genge linaloongozwa na rais hivyo wabunge na viongozi wengine wa chini ni vigumu sana kufanya lolote bila support ya wananchi.
Sasa wananchi wafanye nini?! 😀😀😀

Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.

mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.

Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.

Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)

Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi

Ajira wanapeana wao kwa wao.

Wananchi wafanye nini?!
 
Haya siyo majungu. Ni Tanzania tu hakuna investigative journalism, lakini kuna uchafu mwingi sana unaofanywa sasa hivi. Huyu mama hafai hata kwa dawa.
Kuongea kitu kama hicho tena kutoka kwa kiongozi aliyewahi fikia level za uwaziri bila data unaita sio majungu?

Kama ana uhakika kwanini asitaje majina?
 
Sasa wananchi wafanye nini?! 😀😀😀

Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.

mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.

Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.

Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)

Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi

Ajira wanapeana wao kwa wao.

Wananchi wafanye nini?!
Watanzania wamezidiwa na wale wanafunzi wa Soweto waliopigana na buru wakitumia mawe ?kama ndio hivi tuache kulalama
 
Ni kweli usemalo.... ubavu huo hatuna kwa sababu tumejawa na UNAFIKI na UOGA!

Akidakwa mmoja siku hiyo atataja wote!

Ila huenda labda siku moja miaka mingi inayo watakaokuwepo wataamka. Na labda hao wanajeshi na Usalama wa taifa waache Unafiki na Upumbavu!
 
Sasa wananchi wafanye nini?! 😀😀😀

Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.

mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.

Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.

Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)

Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi

Ajira wanapeana wao kwa wao.

Wananchi wafanye nini?!
Kweli unauliza ukiwa serious au ni kebehi? Kuna kitu kinashinda nguvu ya umma?
 
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni bandari,Mlima,Mbuga au madini!?

Baada ya uchawa kumshinda na kutopata kitu sasa kaamua kugeuka the state.

Ogopa sana organized crime. Na hivi wana kinga ya kutoshtakiwa hata wakiua, lazima uwe makini unapomfanyia nyoka timing
 
Sasa wananchi wafanye nini?! [emoji3][emoji3][emoji3]

Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.

mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.

Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.

Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)

Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi

Ajira wanapeana wao kwa wao.

Wananchi wafanye nini?!
Mimi naona tatizo ni watanzania wenyewe kwa kuruhusu mfumo wa namna hyo kuwatawala, hatuna umoja , hatuna elimu pia usaliti ni mwingi sana kati yetu.
 
Sasa hivi anatuambia Tufanye nini? Tumemuuliza?
Mkuu kwa watanzania ni ukipata gap piga hela,angalia mabilionea uchwara wa customs wanavyoibuka!,na hatuna tajiri hata mmoja mzawa!,tuliokua nao wote wana dual citizenship, tuendelee kusubiria Noah pale kilimanjaro, zinaletwa na meli na Italian nanga pale Moshi
 
Sasa wananchi wafanye nini?! 😀😀😀

Wakiandaa mapinduzi na mbinu za kimyakimya mashushu waliowekwa kuilinda system ya wizi ya CCM wamejaa kila kona... mwisho wa siku yanabumburuka mnatekwa mnaenda kuteswa na kuuwawa kusikojulikana na hao usalama wa CCM.

mkitaka kuandamana WAPUMBAVU na wao wanamwaga wanajeshi wao siku husika wafanye usafi.

Mkilalamika mitandaoni mnafuatiliwa mnakamatwa mnapewa kesi au mnapotezwa.

Mkitaka kuiondoa CCM kwa njia ya uchaguzi wanageuza tu maana wao ndo wanaoamua. Hata kama wameshindwa uchaguzi, kulia inaenda kushoto..., kushoto inaenda kulia matokeo hadharani CCM inaendelea kupeta. Mfano:- (2015)

Mkitaka kukimbia nchi mnawekewa vikwazo... kupata passport ni kama kupata madini ya tanzanite au almasi

Ajira wanapeana wao kwa wao.

Wananchi wafanye nini?!
Kusema ukweli Mimi nimeshindwa kuelewa malengo ya nchi hii ni yapi. Maana is as if Kuna kundi la watu ndilo ambalo limejipa nguvu ya kuamua Kila wanaloona ni sawa bila kujali Kuna binadamu wengine ambao pia ni watanzania. Kinachoumiza zaidi ni hivyo vyombo vya ulinzi na usalama kugeuka kuwa walinzi wa hilo kundi huku nao wakiwa sehemu ya kutumikishwa pasipo faida. Umasikini, adha, shida vinaendelea kusumbua watanzania walio wengi lakini watanzania hao hao ndiyo wanaowapa nguvu hilo kundi ambalo limejipa urithi wa uzaliwa wa kwanza kwenye nchi hii...Is so sad!
 
Back
Top Bottom