Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

Mnapoona wanaingia madarakani hadi wanauwana wakati wa Uchaguzi nyie mnadhani wanaenda kucheza??

Acha wajilipe ujira wao wa roho ngumu.
 
Ni kipara
 
Haya Mambo waulizwe Waziri wa Fedha na aliyeekuwa Waziri wa Ewra na uwezo wa takukura
 
Tafuta pesa acha kuangalia maisha ya watu, wanao hawatarithi hayo maswali yako wanahitaji tangible results.
 
Sio angeiba yeye mwenyewe walewale. Umeona wapi shahidi mwizi, mtuhumiwa mwizi na hakimu mwizi. we kuona?
 
Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!?
Kila mtu anachukua awezacho mapema ndiyo maana watu wapo radhi kuuabinadamu wenzao ili tu wakidhi azma zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…