Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

shida wafanyakazi wengi hawajitambui.. kazi ya mshahara laki na 30 unaandika barua ya kuiomba ya nini?

mfumo wetu wa elimu na maisha ni mbovu.. kuna graduates wengi sana wamefanya kazi hata 10 yrs wengine ila hana asset yeyote zaidi ya liabilities kibao... akiachishwa kazi umwambie atafute hata laki 3 kwa mwezi sawa na elfu 10 kila siku hawezi
Mkuu ukiwa na shida huna choice
 
Hata mm niliona hilo tangazo nilisikitika sana.. na serwkali ipo!
 
kuna mishahara miwili kwa wahindi, mshahara wa kwenye payroll ndo huo hapo umetangazwa, then mwisho wa mwezi unachukua mwingine kwa cashier then 130,000 unapelekwa bank then unajazia. hii inafanya kodi ya mwajiriwa kuwa ndogo na kumpunguzia mwajiri utitiri wa kodi.
 
Duh jamani hata mfanyakazi wa ndani anayelala na kula chakula anachokula bosi wake.. wala hapokei mshahara huo mdogo..

Na ile ya ujanja wa kupenya kwenye matundu ya sheria haikugusa nayo ina huhu..

Inasikitisha huyo tena na kazi ya udereva kwenda kulipwa kiasi hicho.. huku madereva wa watu binafsi wanaopata na mengi zaidi hadi lunch hawanunui wao kuanzia 350,000. Na wakifanya usiku au overtime pesa inaongezeka na Jumapili nayo mtu analipwa zaidi akihitajika.. kwa mwezi hata 500k mtu anabeba
 
Kuna mtu akiwanyoosha hawa mnasema anawachukia. Acheni tu wasiingiliwe maanake watafunga biashara halafu mtoe lawama mtetezi wa wanyonge anaua uchumi.

Mtu yeyote mwenye uchungu na nchi ukiingia deep na kuwajua vizuri hawa 'matajiri' ukipata nafasi lazima uwanyooshe
Yaani ni shida
 
Katika mfumo wa kibepari mfanyakazi ni gharama tu anaepunguza faida hivyo....the lower the cost the better...kwa maana nyingine lengo lake ni kuwa na gharama ndogo iwezekanavyo.....uhuru wa kweli ninkujiamini na kutafuta fursa inayoendana na thamani yako...
usitudanganye na uafrica wako wa kinyonyaji! bora uwe na wafanyakaz wachache unaowalipa vizuri kuliko wengi unaowalipa kidogo! dhambi
 
Back
Top Bottom