Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.

Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.

Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.

Mkoa Mwanza
Yote hiyo ..... Watu Wana laki5 na wanafanya yote sijui wanapataka wapi fedha
 
Huo mshahara mkubwa sana

Tumia formula hii ya 50/30/20

50% Matumizi ya lazima kama chakula, kodi na mahitaji mengine
30% Saving kwa mambo tusiyoyatajia au kwa ajili ya kujikusanya uanzishe biashara
20% Hii wazungu wanaita fun budget yaan ni kwa ajili ya mambo ambayo ambayo hata yakikosekana hakuna ubaya kama kulipia king'amuzi, vacation, outings n.k
 
Safi sana mkuu. Mi nashauri hivi viwili:
  • Apunguze kwenye vocha hapo.. Haiwezekani vocha ifanane na kodi ya nyumba.
  • Chakula 300k kwa mwezi yaan 10k kwa siku haiwezekani. Ipandishe kidogo.
Mkuu kwenye vocha kuna mke na ndugu anayeishi naye. Tuseme bando la 25k itakuja around 75k kwa watatu.

Chakula hapo akienda sokoni akachoma kama 150k kwa ajili ya mazaga. Na 150k ya kudunduliza inaweza tosha. Ila si mbaya
tuweke 400k yani atumie 13k per day.

So saving itabaki 300k.
 
Saving na akiba tofauti yake nini?
 
Kama ndiyo hicho kiasi kinaingia wazee wangekua wanapokea 500K kila mwisho wa mwezi.

Hii M ndiyo ingefanyiwa saving
 
Zaka na sadaka mkuu .ya nini kumpa mtu pesa ya bure??
 
Kizazi cha sasa ni wabinafsi na waoga wa maisha mnafukuza ndugu😁😁😁
 
Bora wewe,mwenzio salary slip yangu hiyo hapo,take home ni 270,nina mke,watoto wawili wote wako English Medium Schools ,mfanyakazi wa ndani mmoja na ndugu watatu, nyumba ya kupanga ,150K ,kwa mwezi nipo naishi bila shida
Sasa we si umekopa mkuu umeingiza kwenye miradi inayokuzalishia cash flow.sioni kama uko vibaya unless kama uliwekeza kusikozaa
 
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.

Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.

Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.

Mkoa Mwanza
Hela nyingi sana laki 5 kwa mwezi mara miezi 12 utakuwa na 6 m kwa mwaka toa 1 m ya mtt uta Seve 5m hiyo 1 m inayo Baki kuhudumia familia na mambo mengine
 
Bora wewe,mwenzio salary slip yangu hiyo hapo,take home ni 270,nina mke,watoto wawili wote wako English Medium Schools ,mfanyakazi wa ndani mmoja na ndugu watatu, nyumba ya kupanga ,150K ,kwa mwezi nipo naishi bila shida
Hii salary slip inatembea! Ivi inawezekanaje mtu akatwe sh elfu kumi kwa mwezi hadi amalize sh milioni 13?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…