Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saving na akiba utofauti ni Nini? MkuuNinashauri tu.
1.mtoe mtoto medium mpeleke shule ya kawaida. utakuwa umeokoa karib 500k kwa Mwaka.
2. Rudisha mfanyakazi kwao, ondoa ndugu kwako au utafafanua ndugu anafanya nn kwako ili nikuelewe kwa kina.
3.gawaneni majukumu wewe na mkeo ya nyumba yenu
4.mshahara wako ufanye kama mbegu (mtaji) ya kuwa na miradi mingine ya kukuingizia pesa
5.Asiwepo mtu nyumbani asiye na faida kiuchumi kwa familia...iwe wewe, mkeo hata m(wa)toto.
6. Tumia hii formula 30:30:20:20 (%)
30 - saving
30 - matumizi
20 - Akiba
20 - Zaka na Sadaka
Kujibu swali sasa, saving inafaa kuwa 30% ya mapato yako
vocha aweke 40,000 tu inatosha. Yeye 20,000 na mke wake 20kMgawanyo.
Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=
Saving 400,000/=
Ndgu hana shida si anakula mnachokula, anavaa ukiwa nacho.Ninashauri tu.
1.mtoe mtoto medium mpeleke shule ya kawaida. utakuwa umeokoa karib 500k kwa Mwaka.
2. Rudisha mfanyakazi kwao, ondoa ndugu kwako au utafafanua ndugu anafanya nn kwako ili nikuelewe kwa kina.
3.gawaneni majukumu wewe na mkeo ya nyumba yenu
4.mshahara wako ufanye kama mbegu (mtaji) ya kuwa na miradi mingine ya kukuingizia pesa
5.Asiwepo mtu nyumbani asiye na faida kiuchumi kwa familia...iwe wewe, mkeo hata m(wa)toto.
6. Tumia hii formula 30:30:20:20 (%)
30 - saving
30 - matumizi
20 - Akiba
20 - Zaka na Sadaka
Kujibu swali sasa, saving inafaa kuwa 30% ya mapato yako
Toa 50K kwenye chakula cha ofisini, toa 20K kwenye vocha, ziweke kwenye kupoza koo. Budget yako inakuwa njema sanaMgawanyo.
Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=
Saving 400,000/=
Mbona hela ya kupooza koo ni kubwa kuliko sadaka mkuuMgawanyo.
Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=
Saving 400,000/=
Kwa sababu wewe ndio unayefanya kazi si mchungaji au padri au sheikh....Mbona hela ya kupooza koo ni kubwa kuliko sadaka mkuu
Mkuu asubuhi chai ofisini utatumia kiasi gani na mchana kiasi gani?Toa 50K kwenye chakula cha ofisini, toa 20K kwenye vocha, ziweke kwenye kupoza koo. Budget yako inakuwa njema sana
Bando la 20k ni dakika ngapi na GB ngapi? Vipi kijana anayeishi naye? Na dada wa kazi je?vocha aweke 40,000 tu inatosha. Yeye 20,000 na mke wake 20k
Hana hata huo muda. Abarikiwe sana yule dada.Hajawasuta
30 - saving
20 - Akiba
Ooh! nilimaanisha "dharura kwa hiyo 20%" sio akiba kama nilivyoandika.Saving na akiba tofauti yake nini?
Aisee kwenye miti hakuna wajenzi,unampeleka mtoto English medium ili agundui nini?? Hiyo ela ni nyingi sana kwanguSalary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.
Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.
Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.
Mkoa Mwanza