Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

A
AKiba na Saving pana utofauti??
 
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.

Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.

Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.

Mkoa Mwanza
Kama siyo mtu wa kuvimba na starehe za hapa na pale kwa mahitaji ya hiyo familia inaweza kufix baadhi ya mambo ila kuwa tajiri utahija nidhamu kubwa. Kwa wale wa kuvimba na starehe na totoz hapo bado sana.
 
Hivi 10% ya fungu la kumi siwezi itoa kidogo kidogo siku za ibaada na kwenye jumuia michango mbalimbali ndani ya mwezi
 
Unamhamishia mtoto shule ya kawaida ili userve 500,000 kwa mwaka. Unamuondoa msaidizi wa kazi na ndugu unamtimulia mbali, kisha unachukuwa 20% ya mshahara (Tsh. 300,000) kwa mwezi unakwenda kutoa zaka na sadaka. Unakwenda kumtolea nani?! Huu ndio unaitwa umaskini wa fikra.
 
hela kubwa hivyo unalalamika je sisi wapasua kokoto tusemehe
 
Manage your self bwana be a man.mpaka bajeti upangiwe JF?mkeo akikupiga utakuja kulalamika.

Kama huwezi siti with your wife and talk the family budget.

Usisahau hela ya kusuka ya mkeo.
Hiyo nyumba mnakaaje ya laki 1 watu wazima watatu? Hama Hapo nyumba iwe na uafadhari kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…