Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

Saving na akiba utofauti ni Nini? Mkuu
 
Ila wengi wenu mnaishi maisha ghari mno aisee.
Mke, mtoto mfanyakazi + ndgu tena aisee.
Toto linasoma shule ya gari la njano ada 8M aisee.
Unakula bata kweli??
 
Mgawanyo.

Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=

Saving 400,000/=
vocha aweke 40,000 tu inatosha. Yeye 20,000 na mke wake 20k
 
Ndgu hana shida si anakula mnachokula, anavaa ukiwa nacho.

Sidhani kama ndgu mmoja anaweza kukufanya ufilisike, shida ni hizo expensive life styles.
 
Mgawanyo.

Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=

Saving 400,000/=
Toa 50K kwenye chakula cha ofisini, toa 20K kwenye vocha, ziweke kwenye kupoza koo. Budget yako inakuwa njema sana
 
Mgawanyo.

Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=

Saving 400,000/=
Mbona hela ya kupooza koo ni kubwa kuliko sadaka mkuu
 
Pesa nyingi sana hiyo, hiyo pesa binafsi nina uhakika wa kutunza 800k kila mwezi. Ambapo kwa miezi kumi na mbili ningekuwa napata 9.6M, hiyo natafuta mishe mjini napiga.

Kwanza ningebadili mfumo mzima wa kuendesha maisha. Ya nini nikae nyumba ya 100k wakati bado najitafuta. Mambo ni mengi sana ya kubadili hapo, ningebakiza mambo ya muhimu sana.
 
Kwa mshahara huo, hutoweza kujenga unless uwe bahili sana. Pia usimiliki gari.
 
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.

Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.

Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.

Mkoa Mwanza
Aisee kwenye miti hakuna wajenzi,unampeleka mtoto English medium ili agundui nini?? Hiyo ela ni nyingi sana kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…