mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
Kwa mshahara huo ukikopea,utaishije kwa kiasi kinacho baki nazani utaishi maisha magumu sanaNawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.
Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
hujanijibu mkuu!!Kwa mshahara huo ukikopea,utaishije kwa kiasi kinacho baki nazani utaishi maisha magumu sana
atleast ,ila haujafafanua zaid
kunanini huko?Afu wakianza kukata Chao uje na wewe u screen shot salary slip uanze kulalamika
tatizo njaa kaka!Mikopo imewafanya watumishi sana kuwa masikini huku mabank yakitajirika
Ahsante mkuuKwa nini usiingie kwenye website ya Crdb. Uende kipengele Cha loan, halafu ukachagua loan calculator.
Itakuwa majibu muda huo huo.
mm siio ticha chief,Walimu mna tabu
CC Mpwayungu Village
Kuna mwenzio huko, analambwa ngoma yote anabakiza kilo tu huko kaibuka anaiomba serekali iingilie katikunanini huko?
imefanyejeJanuary
ndio maana tunaomba ushauri hapa kwa wazoefu wa loansKuna mwenzio huko, analambwa ngoma yote anabakiza kilo tu huko kaibuka anaiomba serekali iingilie kati