Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Walimu mna shida sana, huna loan calculator?? Basi nenda tawi la CRDB karibu yako uwape salary slip uulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm sio ticha mkuu, ila ni afadhali kuwa ticha kuliko kuwa joblessWalimu mna shida sana, huna loan calculator?? Basi nenda tawi la CRDB karibu yako uwape salary slip uulize
Unataka kutatua njaa ya siku moja kwa maumivu ya miaka tisatatizo njaa kaka!
nikisema njaa namanisha budjet deficit mkuuUnataka kutatua njaa ya siku moja kwa maumivu ya miaka tisa
Milioni 21-24 kwa miaka 8.Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.
Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Nilikuwa na kadem kangu, Judith, tumeachana mwaka jana,mm siio ticha chief,
sahihi mkuu,wengine wanajifunza piaUsikope kununua sofa na TV wala kujenga kama una idea ya biashara ndio ukope na utakachopata kwenye biashara kidogo kidogo ndio uanze kujenga maana mnapenda kujenga hata kama uwezo wa kujenga hauna baadae unaipeleka nyumba Bank kukopa huku mtaji ukiwa hauna...unapotaka kukopa inatakiwa ufanye feasibility study ya kutosha ukiona majibu sio sawa achana na mkopo mpaka utakapopata wazo zuri la biashara na hiyo biashara ufanye mwenyewe kwa usimamizi wako sio sijui mtoto wa Mjomba utaishia kumkata kichwa tuu wakati biashara ndio zilivyo...
😂😂😂January
So unataka kuongeza kipatonikisema njaa namanisha budjet deficit mkuu
duh miaka nane nikiwa bado nachapika na mkopo halooMilioni 21-24 kwa miaka 8.
yaahSo unataka kuongeza kipato
Nakushauri utafute vicoba ukakope huko kwenye mabenki ni umasikini unajitafutia.tatizo njaa kaka!
sahihi kaka, coz salary inaishia kwenye recurrent expenditure pekeeBenki za Tanzania , zinapata faida kupitia wafanyazi masikini
vicoba kama vipi mkuu??Nakushauri utafute vicoba ukakope huko kwenye mabenki ni umasikini unajitafutia.
mimi sio ticha mkuu, ni ofsaNilikuwa na kadem kangu, Judith, tumeachana mwaka jana,
Kalikuwa ni katicha, same basic salary 700+K
Biashara ni rahisi kwenye karatasi na sio field haupo mwenyewe.Usikope kununua sofa na TV wala kujenga kama una idea ya biashara ndio ukope na utakachopata kwenye biashara kidogo kidogo ndio uanze kujenga maana mnapenda kujenga hata kama uwezo wa kujenga hauna baadae unaipeleka nyumba Bank kukopa huku mtaji ukiwa hauna...unapotaka kukopa inatakiwa ufanye feasibility study ya kutosha ukiona majibu sio sawa achana na mkopo mpaka utakapopata wazo zuri la biashara na hiyo biashara ufanye mwenyewe kwa usimamizi wako sio sijui mtoto wa Mjomba utaishia kumkata kichwa tuu wakati biashara ndio zilivyo...
Ofsa wa zimamoto au TFS?mimi sio ticha mkuu, ni ofsa
Angalau Saccos na sio huko kausha damuvicoba kama vipi mkuu??