mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
- Thread starter
- #41
sahihi mkuuBiashara ni rahisi kwenye karatasi na sio field haupo mwenyewe.
Ukiloose kwenye businesses ndo utajua ujui.
Bora upoteze pesa kwenye ngono haumi kuliko kupoteza kwenye project utaumia maisha Yako yote.
Bora ukope utie kwenye ardhi Haina hasara unacheza na time TU mkopo ukiisha na ardhi imepanda thamani unapata faida mara mbili.