Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

Mimi nina mshahara kama huyo jamaa ninaishi,niko kwangu,nina nyumba mbili, Sijawahi kulala njaa, mwaka huu january napeleka mtoto wangu English medium school,karo 2M,mwaka jana ndani ya miezi miwili nimekamilisha nyumba ya 13M.

Take home yangu ni 270K

Acha kuogopesha watu, jamaa kama anajiweza akope
Wewe ni kada wa ccm unajua jinsi ya kuibia nchi. Mleta mada sio kada kama wewe.
 
Usikope kununua sofa na TV wala kujenga kama una idea ya biashara ndio ukope na utakachopata kwenye biashara kidogo kidogo ndio uanze kujenga maana mnapenda kujenga hata kama uwezo wa kujenga hauna baadae unaipeleka nyumba Bank kukopa huku mtaji ukiwa hauna...unapotaka kukopa inatakiwa ufanye feasibility study ya kutosha ukiona majibu sio sawa achana na mkopo mpaka utakapopata wazo zuri la biashara na hiyo biashara ufanye mwenyewe kwa usimamizi wako sio sijui mtoto wa Mjomba utaishia kumkata kichwa tuu wakati biashara ndio zilivyo...
Na hata hiyo biashara iwe biashara inayo operate na sio akope kufungua biashara.
 
Mimi nina mshahara kama huyo jamaa ninaishi,niko kwangu,nina nyumba mbili, Sijawahi kulala njaa, mwaka huu january napeleka mtoto wangu English medium school,karo 2M,mwaka jana ndani ya miezi miwili nimekamilisha nyumba ya 13M.

Take home yangu ni 270K

Acha kuogopesha watu, jamaa kama anajiweza akope
Umekamilisha nyumba ya million 13?
 
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.

Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
Kama unaweza bora ujibane...save kadri unavyoweza ili utatue tatizo lako. Au save kadri uwezavyo ili ufungue biashara kwa pesa yako ya ku save. Ukiona inaenda vizuri ndio ukope!

Tunakupa ushauri kulingana na uzoefu wetu. Kazi kwako.
 
Hapo Hadi 25 m kwa miaka tisa unaichangia bank kujiendesha.utarejesha zaido ya 40m.
Kukopa Raha kulipa matanga unarejesha hela zilizoshatumika kwenye hasara
Huyu mtu akichukua mikopo 2 ya 25m akiwa kazini mpaka anastaafu atakuwa ametumia miaka 18 kulipa riba za mikopo

Mikopo ni wendawazimu
 
Mimi nina mshahara kama huyo jamaa ninaishi,niko kwangu,nina nyumba mbili, Sijawahi kulala njaa, mwaka huu january napeleka mtoto wangu English medium school,karo 2M,mwaka jana ndani ya miezi miwili nimekamilisha nyumba ya 13M.

Take home yangu ni 270K

Acha kuogopesha watu, jamaa kama anajiweza akope
Huwezi kuhalalisha wizi kuwa kipato halali, hiyo take home yako inatosha Kwa bill ya umeme, maji na chakula labda cha wiki moja tu.
 
Back
Top Bottom