Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Biashara sio ngumu sema kutokua na taarifa sahihi nini ufanye ndio mtihani wa kwanza pili usimamizi tatu pesa ya riba ndio maana wanaopata pesa ambazo sio za riba kufanikiwa kwa muda mrefu ni rahisi kidogo na utegemezi huku una marejesho vyote hivyo vinachangia kudumaza maendeleo...Biashara ni rahisi kwenye karatasi na sio field haupo mwenyewe.
Ukiloose kwenye businesses ndo utajua ujui.
Bora upoteze pesa kwenye ngono haumi kuliko kupoteza kwenye project utaumia maisha Yako yote.
Bora ukope utie kwenye ardhi Haina hasara unacheza na time TU mkopo ukiisha na ardhi imepanda thamani unapata faida mara mbili.