Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.

TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.

Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.

Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.

Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.

Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…