Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Usipokuwa fisadi hata wa mil 5 hauto kusaidiaWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Usipokuwa fisadi hata wa mil 5 hauto kusaidiaWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Unataka augue tezi dume ghafla eehOmba mkopo kazin kwako wa milioni 50 alafu tafuta odds 3 fixed utie mpunga mkuu
hata kama hana mtegemezi hata moja asahau kwa mshahara huo1m bado ni hela ndogo kama una majukumu, wategemezi, wazazi nk
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Kusanya hela ununue zile toy za watoto. Hiyo mashine hata kwa mshahara wa milioni 5 bado ni ngumu kuinunua.Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Nakupenda Anna.Mpaka ufikishe ishatoka mpya nzuri ya iyo 😢
Tuunze Sembe❌ Ndio Kitu Ipi Bibie Anastenze?Njoo tuunze sembe😎
TRAUnafanya kazi gani hadi unalipwa pesa nyingi hivo 🤭
ache na ww😹Tuunze Sembe❌ Ndio Kitu Ipi Bibie Anastenze?
Tuuze Sembe☑️
Nipe ndinga iyo nikufikilie 😹Nakupenda Anna.
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Kufugia mbuziYa kazi gani?
Bei ni kama milioni 250Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Samahani, bengi ndio wapi?Kopa bengi
Kuna watu wanalipwa mshahara kama huo au chini ya huo na wana magari na nyumba za milioni mia kadhaa.Huwezi kununua Kwa huo mishahara wa 1M hata kidogo.