Amesema Kwa huo mshahara pekee, abadani hawezi hata kidogo tena asithubutu atajiumiza tu Kwa hiyo pesa.Kuna watu wanalipwa mshahara kama huo au chini ya huo na wana magari na nyumba za milioni mia kadhaa.
Ila kiukweli, kama ni mshahara pekee,itamchukua "kujitoa mhanga" kwa muda mrefu sana ili aweze kununua.