Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

Mshahara wa million 1 huwezi kufanyia maendeleo acha kutesa familia tumia huo mshahara kulisha familia, kujenga na kununua gari ni kujiongezea majukumu usiyo yaweza , ila usiache kabisa kujenga jitahidi ujenge kibanda cha kujifichia mvua ukae na familia yako.
 
Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.

TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.

Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.

Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.

Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.

Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
Huyu ndugu anataka mpya hataki vitu used 😁
 
Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.

TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.

Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.

Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.

Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.

Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
Sasa 35 my age+26 years to come=61😅
 
Back
Top Bottom