Hizi chuma sio za 'WANAOLIPWA' mishahara, ni za 'WANAOJILIOA' mishaharaWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Unaona ni nyingi lakini hela hiyo ukijibana sana utaweza kutunza labda laki 3 kwa mwezi... Nyingine yote itaishia kwenye matumiziNdio ni nyingi sana mkuu
Wewe Sana Sana kula vizuri piga mbususu lala amka kesho mtondogoo..ngumu hutoweza kabisa 🧐Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Mishahara ya miezi 400.ambayo huigusi kwa kitu kingine.Ili kujua miaka ugawe mwenyewe hiyo mizi upate idadi ya miakaWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Ndio maana nikasema hii inaonesha ni jinsi gani watanzania tunaishi kwenye tanuru la moto.... Ukiona watu wanaomba ushauri wa kujiua humu ujue ni mambo ya uchumiMillion kwa mwezi na watu wanaondoka na aftatu kutwa nzima!
Huyu ndugu anataka mpya hataki vitu used 😁Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.
TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.
Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.
Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.
Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.
Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
Dogo unajua bei ya hiyo gari lakini?Jitahidi ndani ya miaka 2 kabla hujadanja usitumie hiyo 1m uwe unaweka tuu utapata nusu yake.
Sasa 35 my age+26 years to come=61😅Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.
TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.
Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.
Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.
Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.
Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
Kamari haramu mkuuOmba mkopo kazin kwako wa milioni 50 alafu taduta odds 3 fixed utie mpunga mkuu
Achanganye maji ataita m'maOmba mkopo kazin kwako wa milioni 50 alafu taduta odds 3 fixed utie mpunga mkuu
Uko wapi 😀Njoo tuunze sembe😎