Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

Labda kama utakuwa huli kabisa na huhongi kwamba ikiingia hiyo pesa inakuwa imekaa tu lakini kama unafanya hayo hapo juu itakuchukua miaka yako ya yote ya utumwa hapo kazini hujanunua hiyo chuma!!!

Inabidi ujue pia kwamba kwanza kwa mujibu wa kikotoo cha tra hiyo bei ya kuinunua huko iliko ni ndogo kuliko ushuru utakaokuja kuilipia.
 
Kwa mfano hio hela akiikusanya hadi milioni kumi akaingia shamba kukima mpunga miaka mitano baadae si anaweza kupata hizo mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…