Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

Huwezi kununua Kwa huo mishahara wa 1M hata kidogo.
Kuna watu wanalipwa mshahara kama huo au chini ya huo na wana magari na nyumba za milioni mia kadhaa.

Ila kiukweli, kama ni mshahara pekee,itamchukua "kujitoa mhanga" kwa muda mrefu sana ili aweze kununua.
 
Kwa huo mshahara wa M1 tafuta gari za kawaida tu hilo gari si kwa watu walioajiriwa rafiki yangu unajiumiza tu hayo hata barabarani machache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…