Amesema Kwa huo mshahara pekee, abadani hawezi hata kidogo tena asithubutu atajiumiza tu Kwa hiyo pesa.Kuna watu wanalipwa mshahara kama huo au chini ya huo na wana magari na nyumba za milioni mia kadhaa.
Ila kiukweli, kama ni mshahara pekee,itamchukua "kujitoa mhanga" kwa muda mrefu sana ili aweze kununua.
Unajua ulo gari linatumia mafuta ya shingapi?......Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Kuna principle moja ukiitumia kwenye kufanya maamuzi itakusaidia. Usinunue chombo chochote cha moto ambacho net income yako ya mwezi ni pungufu ya 15% ya thamani yake wakati wa kukinunua.Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Hv hizi kodi za tra huwa zinapangwa na mapunguani au? 😒Land Cruiser J300 2022 used under 40,000 km unaweza ipata kwa CIF ya $ 80,000 hapo BF.
TRA watataka Tsh 110,000,000 cash.
Jumla roughly Mil 320 za Kitanzania.
Kwahiyo kwa mshahara wako wa Mil 1, kama wote unasevu bila kutumia utahitaji miezi 320 ambayo ni sawa na miaka 26.
Ukianza leo utanunua mwaka 2051 March.
Tumeassume dollar ipo constant na thaman ya gari haijabadirika wala kodi.
Yaan hata Mimi nmeshangaa sana watanzania tunamakasirikoKwani mtu kulipwa milion 1 ni hela nyingi? Hizi comment zinaonesha hali tuliyonayo kama watanzania 😆😆
kwamba inauzwa milioni mia sita?Itakuchukua miaka kama 50 hivi ukiwa unaficha tu hiyo hela bila kutoa hata mia
22yrsWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Unadanja lini? Tuanzie hapo kwanzaWakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Uza jicho. Nako ushindani Mkubwa maana kuna graduates wengi nao wanatoa bure au bia 2Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370