Kwa msiojua, Awamu ya pili ni ya kuyatengeneza maisha yako baada ya kustaafu

Mimi binafsi pangekuwa na option ya kukwepa Kodi wallahi ningekuwa wa kwanza Ili nijihudumie mwenyewe kuliko kufaidisha watu watufanyao sie mashamba yao
Bila risiti ina bei yake tofauti na risiti!
 
Kwel ww ni nguchiro
Ukilaza wako unajukikana mkuu!

Kinachofanyika siyo kwa ajili ya Magufuli kujinufaisha. Ni kwa ajili yako wewe na ukoo wako kule kijijini kwenu.

Kwa akili zako hizi bora uendelee kushabikia Amsterdam tu
 
Tujivunie mshamba wetu huyu.maskini akipata matakohulia mbwataa.tufanyeje sasa???
 

CHATTLE GBADOLITE.
 
Yeah,haina noma!Mpaka nije nikamatwe nadhani hiyo faini itakuwa imejilipa kwenye punguzo la bei bila risiti!
Kesho unakuja kulalamika hapa barabara mbovu,mara hakuna ongezeko la mshahara wakati kwa uzembe umeacha kodi yetu imepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…