Kwa mtaji huu naweza kwenda China?

Kwani lonyalonya ni nini? Wabongo wengi bidhaa wanazochukua China kuleta Tz ni lonya tu. Iwe electronics,iwe hardware stuff low quality tu.
Hapana mimi naleta quality... Lonya ni zile wanazotembeza chinga
 
Wadau nina 50m, naweza kwenda China kufunga mzigo?
unaweza kwenda inategemea unataka kununua biashara gani. kuna biashara nyingine unazungushia hapa hapa. huitaji kwenda china. so usikimbilie sana kwenda china ila kwanza ni biashara gani then ndio mengine yafuate.
 
ume
umekaa china ipi mkuu na biashara umefanya ipi. mi nafanyabiashara china miaka 17 sasa. wiki iliyopita nimetoka fujiang kuweka oda ya viatu.
 
ume

umekaa china ipi mkuu na biashara umefanya ipi. mi nafanyabiashara china miaka 17 sasa. wiki iliyopita nimetoka fujiang kuweka oda ya viatu.
Sasa kiongozi ungefunguka zaidi kuhusu biashara ya hukk china, changamoto, mtaji kiasi gani na mengineyo!
 
Naitaji
unaweza kwenda inategemea unataka kununua biashara gani. kuna biashara nyingine unazungushia hapa hapa. huitaji kwenda china. so usikimbilie sana kwenda china ila kwanza ni biashara gani then ndio mengine yafuate.
Naitaji nguo za watoto mzee.
 
ume

umekaa china ipi mkuu na biashara umefanya ipi. mi nafanyabiashara china miaka 17 sasa. wiki iliyopita nimetoka fujiang kuweka oda ya viatu.

Bwana Kitali mbona unafeli sana aisee?

Kuna mahali nimesema nimekaa China?Soma comment yangu vizuri uelewe!

Mbona akina Kitali ni watu vichwa sana?Hakuna Kitali ambae ni falafala,ila wewe unanitia wasiwasi aisee!

Kuelewa comment simple kabisa unashindwa?

Geeeez!
 
Hiyo ndo maana ya JF kila mtu anakuwa na mawazo yake, Sasa watu wote humu ndani tukiwa na mawazo sawa itakuwa hamna maana ya kuwepo JF.
Tusimupuuze wala kumubeza bali tumsome tu na kumtafakari anaweza akatusaidia huko mbeleni
Hatuwezi jua labda ashawahi kuumizwa.!
Maoni yake naomba tuyachukulie kama TAHADHARI TU.!
 
sorry bro nimekosea
 
Wadau, Kuna mtu amenïjulisha kuwa ikifika mwezi wa kwanza china huwa hakuna biashara mpaka mwezi wa pili kwani kwao huo ni mwezi wa mapumziko, je ni kweli?
 
Hakuna haja ya kuangaika,tafuta aina ya biashara ya kufanya,wasiliana na wazalishaji wa bidhaa,ingia nao mkataba wa muda,lipia order,pokea mzigo,anza kuuza....kuliko kufanya uchuuzi wa kizamani.Ni mawazo yangu tu.
 
Wadau, Kuna mtu amenïjulisha kuwa ikifika mwezi wa kwanza china huwa hakuna biashara mpaka mwezi wa pili kwani kwao huo ni mwezi wa mapumziko, je ni kweli?

Hii ni kweli kabisa. Mkuu hawa jamaa kama wachaga mwezi w 12 kwao. Ila china [emoji630] mwaka mpya wa kichina ni January mambo yanakua sawa mpaka mwezi wa tatu hv.
 
Hahahahahaha

Watu wa exaggeration hua mkiwa busted mna mind sana,mnaita watu wana wivu na nyie....

Mtu kaomba information,mpe,nini mbwembwe aisee?
Mjuaji[emoji192][emoji192][emoji192][emoji192][emoji192]
 
Wewe tushakujua unawivu wa kufanikiwa kwa mwenzio#Punga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…