Bro,
Kuhusu issue ya AY ipo closed,alidanganya na mimi niliweka bayana uongo wake na wala sina agenda yoyote....
Nyie mlivyo na matatizo ya kupenda UONGO mkawa mnatetea UONGO,but thats aside...
Hii hapa leo ni angalizo nimetoa kwa ndugu wa 50mil kua achanganye na "akili zake" maana haiwezekani mtu kaulizia information wewe unaanza na mbwembwe "Naijua China zaidi ya watu wote,nifate nikupe machimbo,utapigwa..etc"....Why mbwembwe namna hii?Kwanini usitoe tu information kwa muhusika kama alivyoomba?
Kwani kumuambia mtu achanganye na zake ni kwamba nimekosea au nina "wivu" na mtu?
Tatizo labda una personal beef na mimi of which Im not aware of...Kama you have any personal problem with me,just face me and we have that wrapped up like men.