Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

Kwa mtaji wa milioni 10, biashara ipi inafaa kati ya urembo au pharmacy?

Kwa milioni 10 uza chupi za kike za aina zote kwa bei ya jumla na lejaleja

Unaweza kuzarau ila ni biashara nzuri sana na inareturns nzr sana
Weka chupi, weka chupi za swimming weka sidiria weka stoking
 
Wakuu,
Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy.

Kwa Dar es salaam.
Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Ungeipa psg, Barcelona na man city win kwa leo ungekuwa ibiza
 
Wakuu,
Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy.

Kwa Dar es salaam.
Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
Wazo la kwanza Pharmacy sio kigenge
 
Back
Top Bottom