Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

weka depot ya vinyweji vya pombe kali , soda,maji nk

sambaza kwenye hayo maduka jirani hapo unaweza kunza kwa usafiri wa pikipiki iliyotumika na kumkabidhi kijana kusambaza mzigo
Ashikilie hapa hapaaaa
 
Mbinu za utafiti nazielewa kwa kiasi chake, maana naanzia sokoni kujua watu wanauzaje, pia kutafuta machimbo ambayo bidhaa nitazipata kwa bei nafuu, pia location ni muhimu, kuna nyingine zaidi ya hivyo
Unatakiwa uwajue wawashindani wako ni wakinanani, wateja wao ni akina nani na wanapatikana wapi
 
Back
Top Bottom