Obed maagi Member Joined May 24, 2024 Posts 19 Reaction score 34 May 30, 2024 #141 Hivi SIDDO kwa Mwanza ukiwahitaji anawapataje wapi office zao zilipo, msaada tafadhali.
Abubakari Mussa Senior Member Joined Mar 26, 2020 Posts 129 Reaction score 188 May 30, 2024 #142 Roca fella said: TZS MIL. 10 UNAWEZA KUANZA BIASHARA HIYO. Click to expand... Fair kumbeee Wacha nifatilie zaidi
Roca fella said: TZS MIL. 10 UNAWEZA KUANZA BIASHARA HIYO. Click to expand... Fair kumbeee Wacha nifatilie zaidi
Fotini Member Joined Oct 17, 2021 Posts 71 Reaction score 201 May 30, 2024 #143 Achana na hawa wote njoo naiyo pesa apa kitambaa cheupe niamini mm tukitoka tutakua na wazo. wazo unalo unahitaji ushauri tu Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hawa wote njoo naiyo pesa apa kitambaa cheupe niamini mm tukitoka tutakua na wazo. wazo unalo unahitaji ushauri tu Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 6,958 Reaction score 16,358 May 31, 2024 #144 Megalodon said: Sifa kubwa ya Utumishi ni kukukusanya hela kisha kuwekeza na biashara kisha pesa kupotea na kuanza upya Kuna mtumishi kweli yupo success kwenye business mmmh ! Click to expand... Wapo kibaooo #YNWA
Megalodon said: Sifa kubwa ya Utumishi ni kukukusanya hela kisha kuwekeza na biashara kisha pesa kupotea na kuanza upya Kuna mtumishi kweli yupo success kwenye business mmmh ! Click to expand... Wapo kibaooo #YNWA
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 May 31, 2024 #145 Dr hyperkid said: weka depot ya vinyweji vya pombe kali , soda,maji nk sambaza kwenye hayo maduka jirani hapo unaweza kunza kwa usafiri wa pikipiki iliyotumika na kumkabidhi kijana kusambaza mzigo Click to expand... Ashikilie hapa hapaaaa
Dr hyperkid said: weka depot ya vinyweji vya pombe kali , soda,maji nk sambaza kwenye hayo maduka jirani hapo unaweza kunza kwa usafiri wa pikipiki iliyotumika na kumkabidhi kijana kusambaza mzigo Click to expand... Ashikilie hapa hapaaaa
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 May 31, 2024 #146 Prakatatumba abaabaabaa said: Mbinu za utafiti nazielewa kwa kiasi chake, maana naanzia sokoni kujua watu wanauzaje, pia kutafuta machimbo ambayo bidhaa nitazipata kwa bei nafuu, pia location ni muhimu, kuna nyingine zaidi ya hivyo Click to expand... Unatakiwa uwajue wawashindani wako ni wakinanani, wateja wao ni akina nani na wanapatikana wapi
Prakatatumba abaabaabaa said: Mbinu za utafiti nazielewa kwa kiasi chake, maana naanzia sokoni kujua watu wanauzaje, pia kutafuta machimbo ambayo bidhaa nitazipata kwa bei nafuu, pia location ni muhimu, kuna nyingine zaidi ya hivyo Click to expand... Unatakiwa uwajue wawashindani wako ni wakinanani, wateja wao ni akina nani na wanapatikana wapi