Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Angalia eneo ulilopo na kitu gani kina miss hilo eneo lakini watu wa hilo eneo wanakihitaji sana
 
Asante sana sana.
Ila la mwisho, unataka nikale chakula cha bure sirikalini?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti chakula cha bure. Umenichekesha sana, you may opt the above suggestion

hata bibi alikuwa binti.
 
Kwa mtaji huo mradi wa mama lishe utakutoa sana. Unatosha kukupa vifaa vizuri vya kufanyia mradi na vyombo vizuri vya kulia chakula na kutengeneza mazingira mazuri ya kufanyia biashara hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…