Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Asante kwa ushauriBibie nakushauri uanze biashara ya kuuza mihogo,viazi na juisi kwenye shule za seco au msingi...kwa huo mtaji wako mdogo nafikiri biashara hii itakuinua kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauriAngalia eneo ulilopo na kitu gani kina miss hilo eneo lakini watu wa hilo eneo wanakihitaji sana
Kule Ntakuwa siwazi chochote, zaidi ya mda wa kula tuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti chakula cha bure. Umenichekesha sana, you may opt the above suggestion
hata bibi alikuwa binti.
Mara. Apotee na mtaji. Biashara si itaisha jfSiyo lazima aende yeye,anaweza kukutuma hata wewe[emoji3]
hata bibi alikuwa binti.
Asante kwa ushauri. Ila kwa huo mtaji si utaishia kwa sufuria tu.Kwa mtaji huo mradi wa mama lishe utakutoa sana. Unatosha kukupa vifaa vizuri vya kufanyia mradi na vyombo vizuri vya kulia chakula na kutengeneza mazingira mazuri ya kufanyia biashara hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Nashukuru kwa ushauri mzuri
Kweli. Wekeni wazi tufaidike wengi.Mkuu lete mambo hapahapa huko Pm kuna nini?
"Ogapa Matapeli nyumba hii aiuzwi" (Mwana FA)
Nifundishe jinsi ya kubetMtaji mzuri uo kwenye biashara ya beting
Habari..Du kwa mtaji huo?ningeweza kusema ufungue shoe shine lakin hauta tosha,basi fanya hiv nenda JF saccos iweke hiyo hela ugenerate three time upate angalao laki 6 labda utaweza fanya kitu.
Noma sana kule[emoji2] [emoji5] [emoji5] . Badilisha wazo twende ZimbabweKule Ntakuwa siwazi chochote, zaidi ya mda wa kula tuh
[emoji23] [emoji23] changamoto..Mara. Apotee na mtaji. Biashara si itaisha jf
Twende. Utanipitia basi..Habari..
Naomba unifahamishe kuhusu Jf saccos
acha uongo
Itabaki story tu. Ohoo nilikuwaga na mtaji wa laki Moja.[emoji23] [emoji23] changamoto..
hata bibi alikuwa binti.
Kwel kamanda Hayo mambo ya inbox ya nini aweke ideas tupateMkuu lete mambo hapahapa huko Pm kuna nini?
"Ogapa Matapeli nyumba hii aiuzwi" (Mwana FA)
[emoji1] [emoji5]Itabaki story tu. Ohoo nilikuwaga na mtaji wa laki Moja.