Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,120
share wazo lako, watu watajitokeza (hata kwa mawazo zaidi)Mimi sina mtaji natafuta mtu ambaye Nitashilikiana naye kwenye moja ya wazo langu la kufanya biashara ninaloliamin na kuja kusha,r, ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah yan mtu anatak kuanzsha mradi unamshauri alliance aim global.... Wezi tuu hao alliance.
How does it work in Tanzania?
Unanunua au kuuza pesa za mataifa mbali mbali ili upate faida (sometimes unaweza pata loss)!How does it work in Tanzania?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikupanga kucheka leo
Hahahaha Angalia asikulaumu kwa yatakayo mkuta
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kuliko kubeti bora nikanywe bia
How much have given to street children? Or people with no money!!! Who are people with no money? My friend kama huwezi kushauri ni bora ukakaa kimyaThis is true u will get more money if you give thst money to street children or people with no money then start planning which to invest ndio uchasing or work for money to make your dream come true.
Hii itakusaidia sana kuliko kunywa bia ambazo zitakuongezea mawazo
Mkekabet, mbet na biko pia vitakusaidia.
Kama hautojari