Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Biashara ya uyoga ni nzuri sana, kwa kuanzia unaweza kutumia hata chini ya laki moja na ukapata faida kubwa tu.
Cha kufanya ni wewe uulime mwenyewe, then unafanya packaging na kuuza kwa wateja direct, uyoga una watumiaji wengi sana kwa siku hizi. Ingia mtandaoni google kilimo cha uyoga jifunze. nenda Youtube wapo wakenya wameweka details za kutosha sana. Hapa bongo wapo jamaa wanaitwa [HASHTAG]#Hertufarms[/HASHTAG] wafatilie facebook, insta mpaka you tube utakuja na majibu mazuri naamini. Mimi pia nalima uyoga.
 
Safi sana mkuu mawazo mazuri haya ndo maana huwa nawaambia madogo nikikutana nao kitaa kwamba unachotakiwa mtu kuwa nacho kwanza ni idea ya biashara then unakuja kutafuta mtaji based na idea zako lakini ukiwa na pesa aka mtaji alafu ndo unatafuta wazo la biashara lazima mtu atachemka tu maana wengi watakuwa wanashauri biashara inayoendana na amount ya mtaji ulionao kumbe ingewezekana kufanya biashara hata chini ya kiwango kile cha fedha alichopanga mhusika
 
uko wap mkuu!!! naomba uni_PM
 
wamwise nakuomba pm kuna kitu naomba ufafanuzi wako
 
Jmn samahan kidogo namba kuuliza kwa anaefaham zile tent (hema) zenye vyuma pembe nne wanazotumia mawakala wa kusajili laini zinauzwaje?

Msaada plz
 
Kuna 400,000 TZS mezani, apewe kijana wa miaka 25-28. Unamshauri aifanyie biashara gani itakayorudisha hela hiyo ndani ya miezi 2?
 
Uongo mtupu usitudanganye hapa yan hizi network marketing zimenipotezea hela [emoji57] [emoji57] [emoji57] hizi zina wenyewe
As u said zina wenywe so kumbe sio uongo. Urekebishe maneno yako tafadhali, afu kufel kwako haimanish na wengine watafel.
 
99% wanafeli
I disagree with u, mistake kubwa watu wanafany ni kujoin kipind ishakaa sana na apo ndo kwnye risk kubwa kwa sababu network marketing after some time ina-collapse. Alliance In Motion Global inakua officially launched this month, this is the right time to join dont wait till 2023 ndo ujoin.

Nichek watsap 0659426390 nikufafanulie. Afu AIM Global ina tofauti kubwa sana na nyingne zote ambazo ushawah kuzisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…