Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kosa kubwa tunalofanya wajasiliamali ni Ku copy aina ya biashara kuleta kwenye jamii yako, tuelewe kila sehem kuna aina ya biashara inayotoka, mfano, nenda uswahilini Kwa kina MSAGA SUMU kauze vijola vya Mombasa, nenda shule ya msingi kauze askilim au lambalamba Kwa watoto utapata. Sasa ukitaka kukopi biashara au kupewa aina ya biashara tazama mazingira yako, nn kina miss,nk
 
Nenda kafate samaki na dagaa feri kisha kaanga utapata faida mara dufu kila la kheri.
 
Ndio maana nikiweka fursa
ninaspecify na eneo au mazingira ambapo biashara hiyo inaweza kufanyika, bado inakupa shida mkuu?
 
Wale wanaojua ya nzega mjini au igunga mjini naomba ushauri nina sh. 500,000 naweza fanya biashara gani maeneo hayo ikanilipa vizuri
 
kweli kabisa,
 
Nipo Mwanza nina mtaji wa laki tano Tshs. 500,000/= ninataka kufuata nguo za kike za special Kampala,Uganda nilete Mwanza kuuza, kwa wale wazoefu naombeni ushauri naweza kutoboa kwa huo mtaji? Ni ushauri gani unanipa.
 
Ngoja waje maana mimi pia nina wazo linalotaka kufanana na lako but najiuliza kuhusu kodi.
 
Mimi nafikiri bora chakula kwa sasa
Nguo kama utapata atakae chukua wote kwa pamoja sawa
 
nadhani huo mtaji bado mdogo sana kwa nguo, maana nauli, gharama za kwenda na kurudi,,,, nakushauri ujazie jazie mtaji afu ndio uifanye biashara ya nguo badae
 
nadhani huo mtaji bado mdogo sana kwa nguo, maana nauli, gharama za kwenda na kurudi,,,, nakushauri ujazie jazie mtaji afu ndio uifanye biashara ya nguo badae
Nauli ni Tshs. 80,000/=kwenda na kurudi,guest siku Moja 20,000/=
nakuja kuuza kwa jumla
 
Nauli ni Tshs. 80,000/=kwenda na kurudi,guest siku Moja 20,000/=
nakuja kuuza kwa jumla
Kwahiyo kula huli mkuu au inakuwaje, maana naona hapo umetoa nauli na kulala tu.

Toa na hela yachakula ubaki na lakitatu na point mkuu.
 
Fanya biashara nyingine hiyo itakukost

Kwa bei ya jumla lazima mtu atachagua nguo anazozitaka tu na ambazo hazitaki utabaki nazo lazima itakukata tu

Me nakushauri ufanye biashara za matunda ,viazi na mboga mboga ili katika mtaji wako usiukate wote nadhani hii ishu unaanza na kiasi kama cha laki 3 hiyo nyingine itakulinda tu
 
Kula Haipo humo ndugu
Kwahiyo kula huli mkuu au inakuwaje, maana naona hapo umetoa nauli na kulala tu.

Toa na hela yachakula ubaki na lakitatu na point mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…