Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Kama upo D'salaam tembelea ilala sokoni nunua mitumba utembeze nakuhakikishia shilingi itazaa shilingi bidii yako tu.
Amka ulfajir mapemaNiko dar kwa hiyo hela naweza fanya biashara gani?
Mpendwa ! jaribu hii nimeikuta hapa JF..Niko dar kwa hiyo hela naweza fanya biashara gani?
asante. ushauri mwingine?
Niko dar kwa hiyo hela naweza fanya biashara gani?
Wewe Una Hobi Ya Nini? Biashara,kilimo Au? Inategemea Na Mahali Ulipo, Sema Unaishi Wapi Mkoa,wilaya,kijiji
Amka ulfajir mapema
Nenda ubungo nunua maziwa fresh
yanalipa sana kwa sasa
Kwa hilo swalimkuu akishayanunua ayanywe au?!
Aiseemkuu ukitaka kutoka kirahisi fanya biashara ambazo ni luxurias kwa watu,kama chaja,headphone,makava ya simu au memory card,zinalipa sana,unanua moja kwa 800 had 1200 lakn utauza had 3000 au na zaid,zinawateja weng sana.au uza CD unaenda kununua kariakoo moja 700 au 1000 halafu unanua makasha kwa 200,utauza kuanzia 4000 hadi 6000 kwa CD moja,biashara hii mm imenifanya nijenge nyumba ya mamilion ya fedha na kuish ninavyotaka hapa dar
asante. ushauri mwingine?