1. Tengenezesha tololi afu ufanye mobile genge, unauza vitu mboga mboga, I mean karoti, vitunguu, nyanya, hoho, etc yaani mamboga mboga in general
2. Tafuta bustani ulime mboga mboga za biashara, kama mchicha, chainizi, sukuma wiki, cabbage etc afu unaziuza
3. Nenda karikakoo kanunue urembo urembo waakina dada na uanze biashara ya umachinga unapitisha kwenye masaloon maofisin etc