Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mkuu njoo tu bet kwa muhindi.. tukitumia laki 3tu kati ya hiyo laki 5 unauhakika wa kupata milioni kumi.. unataka nini tena utajiri sindio huo
 
Wazo zuri
 
Uko vizuri sana unaushauri mzuri hongera
 
Heshima kwenu wakuu
Nina laki tano nataka kuanzisha Biashara..naogopa kukurupuka
Wazoefu nisaidieni je naweza kuanzisha Biashara gani ikalipa?
Naishi Mburahati
Dah.... Mwaka mmoja nyuma hiyo pesa ilikuwa ya kubetia kwa kijana wa form2......Lakini leo anakuja mtu na ndevu zake anaomba ushauri wa kuwekeza.... Asante JPM utaeleweka tu[emoji4] [emoji4]
 
Sawa mkuu
Ila nahotaji Biashara ambayo situmii nguvu
Yaani ninunue vitu halafu niuze tu bila processing
Dah...huu ni ulanguzi sasa....ni sawa na utapeli tu. Ndiyo maana safari yetu inakuwa ngumu kwa sababu ya watu kama nyie[emoji35] [emoji35]
 
Banda la chips minimum siyo chini ya mtaji wa laki 5 hapo ni pembeni na pango
Tena unless una eneo ambalo hutalipia vinginevyo hiyo laki 5 haitoshi hata kodi ya miezi 6 tena eneo la kawaida tu... nazungumzia Dar; labda mikoani!
 
Kama waweza distribute tufanye biashara.. Ni wale dagaa safi,hawana nchanga,ambao wameshapikwa na viungo na chumvi,waweza kunywea chai,kwenye supermarket wanauza mpaka buku mbili jelo.
huanikwa kwenye vichanja tumewaweka katika vifungashio.
No pm namba yako nataka hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…