Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

Hamku liona hilo mlipoweka Katiba kwamba ikitokea maradhi au kifo Makamu wa Raisi anachukua Madaraka. Kwani hakuna viongozi wakubwa Ndani ya Serikali na kwenye chama hakuna aliye muislamu au mkristo wa Torati.

Na walioabdika Katiba ni wanasiasa au wanasheria , hawa kufanya rejea ya vitabu vya dini . Viongozi wa Dini zetu hawakuhusishwa. Walidharauliwa.


Hivi viongozi wetu wa chama na sirikali, hawaombi ushauri toka Kwa Bagonza au Kitime au Ponda.

Nini matumizi ya kamati ya Amani, ni kusamehe na kuwadanganya raia wawasamehe viongozi waongo na wezi ili watuibie vizuri na sio kutenda haki.
 
Ushaambiwa serikali haina dini
 
Sio tu mtazamo wa kidini hata kijamii,kibinadamu,kiuchumi,kisiasa mwanamke hayupo equiped kupambana wala kuwezana na mikiki ya nje ya ulimwengu wa nyumbani.

Hata huyu anafanya kazi kwa kuzungukwa na wanaume kwa asilimia kubwa. Wanawake uongozi sio jukumu lao hiyo ipo wazi kabisa wala sio jambo la kutengeneza.

Mataifa ya ulaya na Marekani wenyewe tazama nafasi nyeti kama wameweka wanawake.

Nenda Asia na Uarabuni utakutana na jambo hilo hilo.

Wanawake kutokuwa na sifa ya uongozi ni sawa na swala kutokuwa na sifa za kumuwinda na kumla Simba, sio ulemavu wala ugonjwa ni asili.

Shida ni hawa wasomi wa kisasa wenye mitazamo ya "eurocentric feminist agenda" wanakazia sana ajenda ya ufanano wa mwanamke na mwanaume kinadharia. Ila kiuhalisia wanajua kuwa ni akili za kichaa cha mbwa tu hizo sio uhalisia.
 
Tumia akili,uraisi sio mambo ya dini.Mama ako aliongoza,nyumba yenu,hata baba ako,anajua hilo.
Upumbavu wa fikra huo haujui wewe wanaume waliyoyapitia shangilia tu ufisadi huu wa leo kutegemea pesa na elimu dunia kufilisi ustawi wa jamii.
 
Kuwa rais wa nchi inawezekana, kwa upande wa dini inategemea na hiyo dini!!!
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…