Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni zaidi ya hivyo Vitabu. Mungu yupo kabla ya hivyo Vitabu.Hatutumii Qur an wala Biblia ndugu yangu
Kule arabuni kuna methari moja mashuhuri sana inasema 👉 unapo swalia ndiyo mie ninapo nyea ...tafsiri ya hiyo methari ipo kwenye hizi picha chini...Kwa hiyo SSH hafahamu hayo yaliyomo kwenye kitabu chenu??? Maana angekuwa ni Mgalatia angeweza kusema hiyo Quran haimuhusu.
Ona kwa mfano Kakagame kanatufanyia dharau jeshi letu na Samia anakatazama tu hajui namna gani afanye.Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi, lakini si kuwa mkuu wa dola.
Kwa muktadha huo, tunaposema mwanamke anaweza kuwa rais, tunapingana na maandiko matakatifu tuliyo nayo.
Sasa tunafanyaje?
Katika Biblia, kuna hadithi ya mfalme aliyesema, "Siku nyingi hekalu halijakarabatiwa. Nataka hekalu likarabatiwe." Wakati wa ukarabati, walikuta kitabu cha Torati. Waliposoma maandiko yake, mfalme aligundua kuwa taifa lilikuwa linafanya mambo mengi yaliyokatazwa. Akauliza, "Tufanye nini sasa?"
Je, Watanzania tunapaswa kujiuliza swali hilo hilo?
Ikumbukwe kuwa Ikulu ilipojengwa awali, haikuwa nyumba ya mtawala; ilikuwa chuo cha dini ya Kiislamu. Sasa, tunajadili jambo ambalo limekatazwa katika Msahafu.
Tunasema mwanamke anaweza kuwa rais, lakini Msahafu unakataa.
Kwa mfano, hata Kanisa Katoliki limekataa kuwapa wanawake upadrisho, na suala la wanawake kuwa maimamu bado halijakubaliwa.
Pengine ni wakati wa kurudi kwenye misingi ya imani na historia ya taifa letu.
Sisi tunaongozwa na wazungu kwa kila kitu ...Mpaka sheria zetu zimeandika kwa lugha ya wazungu.Mungu ni zaidi ya hivyo Vitabu. Mungu yupo kabla ya hivyo Vitabu.
Mungu yupo kabla ya Adamu, Adamu alikwepo kabla ya hivyo Vitabu.
Kama binadamu wote ni sawa unaweza kukaa ndani ulelewe na mkeo kwa asilimia 100% umsaidie kulea watoto kama baba wa nyumbani? Ukifanikiwa huu mtihani mdogo then utakuwa umenithibitishia.Kwa vile nchi yetu haina dini, urais wa Tanzania, hatutafuti imamu wala kasisi, na kwa mujibu wa katiba yetu, binadamu wote ni sawa, mtu yoyote anaweza kuwa rais!.
P
kwani huyo ni rais wa zanzibar?Zanzibar karibu 99% ni waislam na kwenye dini Yao Mwanamke hafai kuwa kiongozi na kiasi flani anadharauliwa sana, kutokana na haya Samia anajitahidi kufanya Kila analoweza kujenga mabarabara mpaka vichochoroni, ujenzi wa masoko ya kisasa Kila wilaya, ujenzi wa mahospitali makubwa nk haya yote Ili kuwaonyesha jamii ya kizanzibar kwamba kuliwahi kutokea Rais Mwanamke aliyefanya mambo makubwa kuliko hao Marais wanaume waliopita
Nenda ukanywe vidonge vyako naona jua kali tayari medulla oblangata ime cease!!Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi, lakini si kuwa mkuu wa dola.
Kwa muktadha huo, tunaposema mwanamke anaweza kuwa rais, tunapingana na maandiko matakatifu tuliyo nayo.
Sasa tunafanyaje?
Katika Biblia, kuna hadithi ya mfalme aliyesema, "Siku nyingi hekalu halijakarabatiwa. Nataka hekalu likarabatiwe." Wakati wa ukarabati, walikuta kitabu cha Torati. Waliposoma maandiko yake, mfalme aligundua kuwa taifa lilikuwa linafanya mambo mengi yaliyokatazwa. Akauliza, "Tufanye nini sasa?"
Je, Watanzania tunapaswa kujiuliza swali hilo hilo?
Ikumbukwe kuwa Ikulu ilipojengwa awali, haikuwa nyumba ya mtawala; ilikuwa chuo cha dini ya Kiislamu. Sasa, tunajadili jambo ambalo limekatazwa katika Msahafu.
Tunasema mwanamke anaweza kuwa rais, lakini Msahafu unakataa.
Kwa mfano, hata Kanisa Katoliki limekataa kuwapa wanawake upadrisho, na suala la wanawake kuwa maimamu bado halijakubaliwa.
Pengine ni wakati wa kurudi kwenye misingi ya imani na historia ya taifa letu.
Bro kumbuka Rais Samia kampa kazi mdogo wako Makongoro Nyerere. Hebu kuweni na shukrani japo kidogoVideo moja nimeiweka jana mod ameiondoa; wanawake Uswahilini wameandaa Ngoma wanacheza wanasema hawamtaki Mama Samia.
Anaulizwa yule demu huku,huku anachrza Ngoma;
Q: Unaitwa nani?
A; Naitwa Saradeo mtoto wa Kimakonde.....
(Shangwe)
Q: Sababu ya kutokumtaka Mama Samia ni nini?
A; Mama Samia huyu huyu mkorofi.
Mama Samia huyu huyu tapeli wa mitandaoni.
( Shangwe).
sifa za uongozi alizonazo huyu ni zipi?Hatuongozwi kwa mitazamo ys kidini ambayo nikandamizi kwa mwanamke. Mtu yeyote bila kujali jinsia mwenye sifa za uongozi anaweza kuongoza
NJOO KWA YESU UOKOLEWE upate kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mzungu ni mwanadamu tu kama wewe.Sisi tunaongozwa na wazungu kwa kila kitu ...Mpaka sheria zetu zimeandika kwa lugha ya wazungu.
Tanzania haiongozwi kwa Amri 10 za Mungu wala Sharia za Kiislam. Tayari tunaye Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Mengine ya Mwenyezi Mungu tutaendelea kuyatii kwenye mimbari na madhabahu.🙏🙏🙏Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi, lakini si kuwa mkuu wa dola.
Kwa muktadha huo, tunaposema mwanamke anaweza kuwa rais, tunapingana na maandiko matakatifu tuliyo nayo.
Sasa tunafanyaje?
Katika Biblia, kuna hadithi ya mfalme aliyesema, "Siku nyingi hekalu halijakarabatiwa. Nataka hekalu likarabatiwe." Wakati wa ukarabati, walikuta kitabu cha Torati. Waliposoma maandiko yake, mfalme aligundua kuwa taifa lilikuwa linafanya mambo mengi yaliyokatazwa. Akauliza, "Tufanye nini sasa?"
Je, Watanzania tunapaswa kujiuliza swali hilo hilo?
Ikumbukwe kuwa Ikulu ilipojengwa awali, haikuwa nyumba ya mtawala; ilikuwa chuo cha dini ya Kiislamu. Sasa, tunajadili jambo ambalo limekatazwa katika Msahafu.
Tunasema mwanamke anaweza kuwa rais, lakini Msahafu unakataa.
Kwa mfano, hata Kanisa Katoliki limekataa kuwapa wanawake upadrisho, na suala la wanawake kuwa maimamu bado halijakubaliwa.
Pengine ni wakati wa kurudi kwenye misingi ya imani na historia ya taifa letu.
Niko kwa Mungu mmojaNJOO KWA YESU UOKOLEWE upate kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mzungu ni mwanadamu tu kama wewe.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Upumbavu mtupu. Urais unatumia akili, busara na maarifaa katika kuongoza nchi.Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi, lakini si kuwa mkuu wa dola.
Kwa muktadha huo, tunaposema mwanamke anaweza kuwa rais, tunapingana na maandiko matakatifu tuliyo nayo.
Sasa tunafanyaje?
Katika Biblia, kuna hadithi ya mfalme aliyesema, "Siku nyingi hekalu halijakarabatiwa. Nataka hekalu likarabatiwe." Wakati wa ukarabati, walikuta kitabu cha Torati. Waliposoma maandiko yake, mfalme aligundua kuwa taifa lilikuwa linafanya mambo mengi yaliyokatazwa. Akauliza, "Tufanye nini sasa?"
Je, Watanzania tunapaswa kujiuliza swali hilo hilo?
Ikumbukwe kuwa Ikulu ilipojengwa awali, haikuwa nyumba ya mtawala; ilikuwa chuo cha dini ya Kiislamu. Sasa, tunajadili jambo ambalo limekatazwa katika Msahafu.
Tunasema mwanamke anaweza kuwa rais, lakini Msahafu unakataa.
Kwa mfano, hata Kanisa Katoliki limekataa kuwapa wanawake upadrisho, na suala la wanawake kuwa maimamu bado halijakubaliwa.
Pengine ni wakati wa kurudi kwenye misingi ya imani na historia ya taifa letu.
Ayn Rand: “I would never vote for a woman president"
View: https://youtu.be/cL8g7zy6qxw?si=gw-NJjDqzeiWWyE9
Rais wa Tanzania ikiwemo Zanzibar, ila unachotakiwa kujua ni kwamba ktk muhula wake Samia Zanzibar inajengwa kupita wakati wowote ule maana yake ni kwamba pesa zote za miradi mikubwa Zanzibar zinatoka kwake.kwani huyo ni rais wa zanzibar?
Kila uchao wanapokea pesa za huyo huyo mwanamke , unategemea waseme nini? Penye udhia penyeza rupia.Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi, lakini si kuwa mkuu wa dola.
Kwa muktadha huo, tunaposema mwanamke anaweza kuwa rais, tunapingana na maandiko matakatifu tuliyo nayo.
Sasa tunafanyaje?
Katika Biblia, kuna hadithi ya mfalme aliyesema, "Siku nyingi hekalu halijakarabatiwa. Nataka hekalu likarabatiwe." Wakati wa ukarabati, walikuta kitabu cha Torati. Waliposoma maandiko yake, mfalme aligundua kuwa taifa lilikuwa linafanya mambo mengi yaliyokatazwa. Akauliza, "Tufanye nini sasa?"
Je, Watanzania tunapaswa kujiuliza swali hilo hilo?
Ikumbukwe kuwa Ikulu ilipojengwa awali, haikuwa nyumba ya mtawala; ilikuwa chuo cha dini ya Kiislamu. Sasa, tunajadili jambo ambalo limekatazwa katika Msahafu.
Tunasema mwanamke anaweza kuwa rais, lakini Msahafu unakataa.
Kwa mfano, hata Kanisa Katoliki limekataa kuwapa wanawake upadrisho, na suala la wanawake kuwa maimamu bado halijakubaliwa.
Pengine ni wakati wa kurudi kwenye misingi ya imani na historia ya taifa letu.
Uongozi madhumuni yake ni kutengeneza mifumo thabiti itakayofanya kazi kwa muda mrefu na kuleta matokeo chanya. Mfano Yesu hakujenga Jengo lolote la kanisa lakini alianzisha mfumo wa kanisa na upo imara mpaka leo. Nyerere hakujenga mavitu mengi lakini anatajwa karibu kila leo. Kitu cha muhimu sana ni kutambua wajibu wako kama kiongozi ni upi? Maana hizo barabara ni muhimu sanaa lakini si kitu cha kuji-promote ulifanya ulipokuwa kwa nafasi fulani. Kwa sababu hizo hujengwa kwa kodi au misaada ya wafadhili. Lakini hakuna mfadhili atakuja kututengenezea mifumo thabiti hapa nchini. Hayupo mpaka mwisho wa Dunia.Zanzibar karibu 99% ni waislam na kwenye dini Yao Mwanamke hafai kuwa kiongozi na kiasi flani anadharauliwa sana, kutokana na haya Samia anajitahidi kufanya Kila analoweza kujenga mabarabara mpaka vichochoroni, ujenzi wa masoko ya kisasa Kila wilaya, ujenzi wa mahospitali makubwa nk haya yote Ili kuwaonyesha jamii ya kizanzibar kwamba kuliwahi kutokea Rais Mwanamke aliyefanya mambo makubwa kuliko hao Marais wanaume waliopita