Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

Kwa hiyo SSH hafahamu hayo yaliyomo kwenye kitabu chenu??? Maana angekuwa ni Mgalatia angeweza kusema hiyo Quran haimuhusu.
Kule arabuni kuna methari moja mashuhuri sana inasema πŸ‘‰ unapo swalia ndiyo mie ninapo nyea ...tafsiri ya hiyo methari ipo kwenye hizi picha chini...
FaizaFoxy najua unaijua ile Methari ya bwanaπŸ‘‰ Ywaib osman jabi ni mashuhuri sana kule arabuni
 

Attachments

  • 1741083078844.jpg
    458.7 KB · Views: 2
  • 1741083076850.jpg
    112.6 KB · Views: 1
  • 1741083069223.jpg
    737.8 KB · Views: 2
Ona kwa mfano Kakagame kanatufanyia dharau jeshi letu na Samia anakatazama tu hajui namna gani afanye.
 
Kwa vile nchi yetu haina dini, urais wa Tanzania, hatutafuti imamu wala kasisi, na kwa mujibu wa katiba yetu, binadamu wote ni sawa, mtu yoyote anaweza kuwa rais!.
P
Kama binadamu wote ni sawa unaweza kukaa ndani ulelewe na mkeo kwa asilimia 100% umsaidie kulea watoto kama baba wa nyumbani? Ukifanikiwa huu mtihani mdogo then utakuwa umenithibitishia.
 
kwani huyo ni rais wa zanzibar?
 
Nenda ukanywe vidonge vyako naona jua kali tayari medulla oblangata ime cease!!

Serikali haina dini, hivyo kujustfy hoja yako kwa kutumia Quran na bible ni kwenda kinyume na Katiba ya JMT ambayo haija segregate u Rais kwa kutumia jjnsia
 
Bro kumbuka Rais Samia kampa kazi mdogo wako Makongoro Nyerere. Hebu kuweni na shukrani japo kidogo
 
Ukiachana na dini kukataza pia Tanzania bado haiko tayari kuongozwa na Mama ndomana nguvu nyingi inatumika kumtangaza kwenye mabango na kila bidhaa ili aonekane anapendwa.
 
Tanzania haiongozwi kwa Amri 10 za Mungu wala Sharia za Kiislam. Tayari tunaye Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Mengine ya Mwenyezi Mungu tutaendelea kuyatii kwenye mimbari na madhabahu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Upumbavu mtupu. Urais unatumia akili, busara na maarifaa katika kuongoza nchi.

Hizi habari za mwanamke kuonekana hafai ni story za mitaani ambazo hazina mashiko yoyote.

Ujerumani iliongozwa na chancellor mwanamke kwa miaka 15 (2005-2021) kuna namna yoyote inaweza kulinganishwa na Tanzania kwa maendeleo iliyoyapata katika muda huo?.
 
Ayn Rand: β€œI would never vote for a woman president"



View: https://youtu.be/cL8g7zy6qxw?si=gw-NJjDqzeiWWyE9
Habari ya Marekani inachekesha. Wanakataa kuongozwa na mwanamke lakini Rais akitoka chama cha democrat kunakuwepo na msenge mmoja anayepewa nafasi ya uwaziri!.

Hao ni tofauti na sisi huku afrika. Samia amefanya kazi nzito katika hii miaka minne ambayo wanaume wengi wanaweza kushindwa kuifanya.
 
kwani huyo ni rais wa zanzibar?
Rais wa Tanzania ikiwemo Zanzibar, ila unachotakiwa kujua ni kwamba ktk muhula wake Samia Zanzibar inajengwa kupita wakati wowote ule maana yake ni kwamba pesa zote za miradi mikubwa Zanzibar zinatoka kwake.
 
Kila uchao wanapokea pesa za huyo huyo mwanamke , unategemea waseme nini? Penye udhia penyeza rupia.
 
Uongozi madhumuni yake ni kutengeneza mifumo thabiti itakayofanya kazi kwa muda mrefu na kuleta matokeo chanya. Mfano Yesu hakujenga Jengo lolote la kanisa lakini alianzisha mfumo wa kanisa na upo imara mpaka leo. Nyerere hakujenga mavitu mengi lakini anatajwa karibu kila leo. Kitu cha muhimu sana ni kutambua wajibu wako kama kiongozi ni upi? Maana hizo barabara ni muhimu sanaa lakini si kitu cha kuji-promote ulifanya ulipokuwa kwa nafasi fulani. Kwa sababu hizo hujengwa kwa kodi au misaada ya wafadhili. Lakini hakuna mfadhili atakuja kututengenezea mifumo thabiti hapa nchini. Hayupo mpaka mwisho wa Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…