Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

Issue ya mifumo wananchi wengi hawaelewi wao wanataka kuona majengo, barabara, mkono unaenda kinywani nk. Kwahiyo na viongozi wengi wanapitiamo humo humo.
 
Ni kweli mamako mzazi hawezi kuwa Rais. Ila kama ni mama Samia ataendelea kuwa Rais hadi 2030. Pia tunaangalia uwezekano wa kumuongezea miaka 7.
 
Aione Zemanda
 
Andiko hili liwafikie wote ambao Huwa wanahoji utimamu wako upstairs!

Mimi nakuheshimu sana big brain!

Ubarikiwe 🙏
 
Mbona wanaume kama jpm urais uliwashinda wakabaki wanaua watu na kuharibu uchaguzi na kutengeneza mazingira ya watu kupita bil kupingwa. Kama jpm aliweza kutawala licha ya udhaifu ule kwa nini mwanamke ashindwe
 
Usichanganye mwanamke kushika dola na kuwa kiongozi wa dini. Kuwa kiongozi wa dola hakuna maandiko ktk bibilia yanayosema Mungu ameweka zuio la mwanamke kuwa kiongozi wa nchi. Uingereza mfalme/malkia ndyo mkuu wa kanisa la Anglican, na ndyo walotuletea ukiristo.
 
Hawakuwahi kuitawala afrika , hao watumwa wako wapi huko Arabuni ?

Hakuna ujinga wa demokrasia tungekuwa kama Dubai .
Mtu wa kwanza kuivamia pwani ya Afrika Mashariki na hasa Tanzania ni Mreno na alituletea Serikali,mazao mbalimbali kama vile mahindi,mhogo nk.,akaja Mwarabu akatawala na kutuletea Biashara ya Utumwa,umwinyi na dini ya Kiislamu,akaja Mjerumani akatuletea mashamba ya mkonge,akatujengea reli ya kati,akatujengea miji,mikoa na wilaya na kutjengea barabara za kuunganisha miji hiyo,akafuta biashara ya utumwa iliyoasisiwa na Waarabu.Baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia Mjerumani akafurumushwa na Nchi ikachukuliwa na Waingereza wakatujengea Reli ya Kaskazini na kuendeleza kilimo cha mazao ya biashara kama vile chai,kahawa,mkonge,pamba na hata tumbaku.Wakaendeleza kutoa elimu bure ili Mwafrika naye afanane nao.Walitoa huduma ya afya bure wakatujengea miji,wilaya na mikoa mbalombali.
 
Hakuwahi kutawala kama hujui ,soma tena urudi mezani ...Mtawala alikuwa na mifumo ya serikali ,haki zote za umiliki wa koloni.

Tawala za umwinyi muarabu kazikuta Africa kama hujui ,hakuanzisha yeye.

Waarabu walipita kweny trade route tu basi ,rudia kusoma vizuri.
 
Acha ujinga Sultan wa Oman hakuwahi tawala Zanzibar na pwani ya Afrika Mashariki?
 
Mwaka gani alitawala ? Sasa huyo sultan alikuwa anafanya biashara ya utumwa?

Kulikuwa na ngome ili kulinda trade route yao.
Waulize Wizara ya Elimu wafute kwenye kumbukumbu zao ili watoto wasifundishwe uongo ubaki na elimu yako ya madrasa
 
Mbona wanaume kama jpm urais uliwashinda wakabaki wanaua watu na kuharibu uchaguzi na kutengeneza mazingira ya watu kupita bil kupingwa. Kama jpm aliweza kutawala licha ya udhaifu ule kwa nini mwanamke ashindwe
wewe umechanganyikiwa
unamfananisha Rais wa kweli Magufuli
na huu uchafu wa sasa?
 
Wajitokeze wenye dini zao wasema
 
Waulize Wizara ya Elimu wafute kwenye kumbukumbu zao ili watoto wasifundishwe uongo ubaki na elimu yako ya madrasa
Nimekuuliza sultan alikuwa anafanya biashara ya utumwa ...Waarabu hawakuwahi kutawala Africa Walipita tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…