Hebu kua mkweli, we hii thread umeielewaje?
Kwa kweli hali ni mbaya sanasana mtaani, juzjuz nilienda amref pale kupima nikakutana na kisichana kidogo cha miaka 16
tukawa tunasubiria majibu na watu wengine akaitwa kutoka analia huku anakimbia, nusu nikimbie na mie kabla sijaingia
nashukuru niliingia mambo sio mabaya,nilivotoka nje nikamkuta kakaa pale kwa nje nikamwambia tuondoke wote
njiani alinambia ni shemeji yake anayeishi naye ndio kamwambukiza, na anaishi sinza na dada yake,jamani wadogo zetu
mjitunze sio mnakimbilia waume wa dada zenu ona sasa yamemkuta.

Ukija kusema mtu km huyu utaambiwa unyanyapaa?! Ajabu na kweli
Ipo haja hizi dawa ARV kutolewa kwa masharti eg sheria kali,kuwalazimisha wajitambulishe kwa jamii na nk.
pole bibie Dena, labda alihisi kwa kuwa mnatoa huduma kwa watu wa aina yake basi nanyi mtakuwa wagonjwa pia! Wanaume noumer wasione sket inakatiza!Kuna watu hawana aibu hata kidogo, kwa vile anaona tayari anataka afe na wengi, kibaya zaidi ukute karubuni wadada wengi na kaishatembea nao you never know hali ikoje au circle inazunguka vipi yaani lililobaki ni kumuomba Mungu tu atusaidie na kutulinda vinginevyo hali sio nzuri kabisa. Pole DA.

pole bibie Dena, labda alihisi kwa kuwa mnatoa huduma kwa watu wa aina yake basi nanyi mtakuwa wagonjwa pia! Wanaume noumer wasione sket inakatiza!

Yaani wewe acha tu siku yangu leo si nzuri kabisa
pole sana,naamin hajakuharibia swaumu yako-maana yeye hajafungaMsinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
Au nini hasa???
Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................
Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................
Cheers
DA
Kuna mdada alinambia kuna bosi mkubwa tu alimtaka. Akawa anamsumbua sana na kwa kuwa alikuwa anamtegemea ili kazi zake za kiofisi ziende akaamua kuja na mbinu bab kubwa ya kumkatisha tamaa huyo kibosile. Akamwambia hata mimi nakupenda saaana ila hapa nilipo natumia ARV.
You know what. Mbaba badala ya kusikitika ndio katoa boonge la tabasam akamjibu eti hata mimi ni muhathirika miaka mingi tu so no problem. Well huyo dada anadeal na issues fulani zinazomfanya akutane na mabosi wengi mostly kwa ajili ya grants. Hivyo aliamua kumuhifadhi huyo jamaa ila story alinimegea tulipokuwa tunaogelea magonjwa na kuwa wahathirika ni wengi na huwezi kuwajua kwa macho sababu ya ARV.

Ongea naye, l mean kama shirika lenu mnaqafadhili l am sure unaweza anzia hapo katika counciling yako! Muulize kwanini anakutongoza wakati anajua umeolewa? Usigusie chochote kuhusu hali yake, ongea naye kama college wako wa ofisini ambaye hujui HIV status yake!
Kwani l am sure kilichokupiss off ni kwa vile unajua ni muathirika! But u of all people should know that kuwa positive hakusababishi moyo kutamani! Huenda anakupima kama unaishi unachokihubiri (anti-unyanyapaa). The fact kuwa kafiwa mke hiyo ndiyo inamfanya kuhitaji mwanamke zaidi kwani hana mwingine! Wanawake tulioolewa tunatongozwa all the time.
As some one said hapo juu, maybe alikufata wewe specifically kwakuwa wajua status yake, na kwamba ukikubali mtaplay safe kama mnavyowahubiri!
I see unyanyapaa zaidi kuliko tatizo! Wengine unawatoleaje nje? Do the same to him!
Lastly muombe Mungu sana aiepushie ndoa na familia yako janga hili la Ukimwi!
Wakuu hili lakuambukiza kwa makusudi hata huku kwetu lipo kuna jamaa anagawa hela bila kubagua ni dent, barmade au ni mtu gani yeye alimladi alale nae tu na hua anaenda peku hata kama walikubaliana kutumia zana kiivi tutafika jamani?