Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Kwa kweli hali ni mbaya sanasana mtaani, juzjuz nilienda amref pale kupima nikakutana na kisichana kidogo cha miaka 16
tukawa tunasubiria majibu na watu wengine akaitwa kutoka analia huku anakimbia, nusu nikimbie na mie kabla sijaingia
nashukuru niliingia mambo sio mabaya,nilivotoka nje nikamkuta kakaa pale kwa nje nikamwambia tuondoke wote
njiani alinambia ni shemeji yake anayeishi naye ndio kamwambukiza, na anaishi sinza na dada yake,jamani wadogo zetu
mjitunze sio mnakimbilia waume wa dada zenu ona sasa yamemkuta.