First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Yaani wewe acha tu siku yangu leo si nzuri kabisa

Wakuu hili lakuambukiza kwa makusudi hata huku kwetu lipo kuna jamaa anagawa hela bila kubagua ni dent, barmade au ni mtu gani yeye alimladi alale nae tu na hua anaenda peku hata kama walikubaliana kutumia zana kiivi tutafika jamani?
Jamani mjue kuna watu duniani hwajali kutoka na mwenye vvu
Wanajifunza tu jinsi ya kulala wote na nini wafanye mwenza asipate vvu
Wengine hadi wanaamua kuzaa
Yote ni kuomba Mungu akulinde tu.

Kuna mdada alinambia kuna bosi mkubwa tu alimtaka. Akawa anamsumbua sana na kwa kuwa alikuwa anamtegemea ili kazi zake za kiofisi ziende akaamua kuja na mbinu bab kubwa ya kumkatisha tamaa huyo kibosile. Akamwambia hata mimi nakupenda saaana ila hapa nilipo natumia ARV.

You know what. Mbaba badala ya kusikitika ndio katoa boonge la tabasam akamjibu eti hata mimi ni muhathirika miaka mingi tu so no problem. Well huyo dada anadeal na issues fulani zinazomfanya akutane na mabosi wengi mostly kwa ajili ya grants. Hivyo aliamua kumuhifadhi huyo jamaa ila story alinimegea tulipokuwa tunaogelea magonjwa na kuwa wahathirika ni wengi na huwezi kuwajua kwa macho sababu ya ARV.

... Its your Great Patience which gave you all your wisdom and ability to confront HIM sqarely and put him where he belong!!!

D Amsi .. You have great charater hold on it ..die for it ... thank God for it!!!
Kama huna cha kuchangia nyamaza na potezea kabisa huna haja ya kunipangia kuwa nianzishe thread kwa kipi.
Potezea kwa mbali na hujalazimishwa kusoma ebo??
Mchungaji bana.Acha kujipaisha wewe! Ni Mwanaume gani ahangaike na mke wa mtu tena mwenye mitoto? wakati kuna spring chicken kibao mtaani? Kwanza wewe umepima? Afya yako mgogolo mtupu. Kutongozwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Grow up
Acha kujipaisha wewe! Ni Mwanaume gani ahangaike na mke wa mtu tena mwenye mitoto? wakati kuna spring chicken kibao mtaani? Kwanza wewe umepima? Afya yako mgogolo mtupu. Kutongozwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Grow up
We ulishawai kutongoza/kutongozwa? kama kweli unaelewa ukimwi ni nini utajua jua cha kufanya hapa!Nimeelewa kwamba kuna watu wameathirika na wanataka kuondoka na orodha ya wengine wengi.
RED: Ndo mara ya kwanza kutakwa wewe au kisa unajua status yake?My concern ilikuwa why anitake??? Cause kuwa na HIV si kwamba kunamzuia kupenda au kusikia hamu ya kufanya mapenzi but kwanini asitafute mpenzi wakaelimishwa na kuishi vizuri hata kama ni negative + positive?? Mimi ananitaka wa nini kama sio kuniharibia?? Hazuiwi kupenda wala kuwa na mpenzi lakini ananitaka nifanye nae nini??? Ngono then what next?? Aaaahhh bana haifai
Mchungaji bana.
Mi napita tu hapa
Mchungaji bana.
Mi napita tu hapa