Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Wakuu hili lakuambukiza kwa makusudi hata huku kwetu lipo kuna jamaa anagawa hela bila kubagua ni dent, barmade au ni mtu gani yeye alimladi alale nae tu na hua anaenda peku hata kama walikubaliana kutumia zana kiivi tutafika jamani?

Hivi anawabaka? Nani hajui kuwa ukimwi upo? Wewe ukakubali kutembea bila kinga na demu usiyejua status yake tena kwa kumlipa inategemea nini? Au mdada hujabakwa umeachia mwenyewe sijui baada ya kupewa sh ngapi halafu unalaumu nini!

Nawaonea huruma watoto wanaozaliwa nao (ukimwi) na waaminifu wanaoletewa na wenzi wao wa ndoa tu! Wengine no way, umeparamia halafu unalaumu kuwa hajakwambia kuwa ni + si ajabu mwenyewe hujijui, tuwe responsible, tuone kama hatutaushinda Ukimwi! Jione peke yako ni mzima na wengine wote ni + hapo ndipo tutakaposhinda!

Jamani mjue kuna watu duniani hwajali kutoka na mwenye vvu

Wanajifunza tu jinsi ya kulala wote na nini wafanye mwenza asipate vvu
Wengine hadi wanaamua kuzaa

Yote ni kuomba Mungu akulinde tu.

Hicho ndo cha muhimu sana kufanya hakuna otherwise

Acha huyo mzee dena hata hawa vijana wanabalehe huku washaathirika na bado wanajiachia. Dunia hii hata mifugo yako usiiamini.

Kuna mdada alinambia kuna bosi mkubwa tu alimtaka. Akawa anamsumbua sana na kwa kuwa alikuwa anamtegemea ili kazi zake za kiofisi ziende akaamua kuja na mbinu bab kubwa ya kumkatisha tamaa huyo kibosile. Akamwambia hata mimi nakupenda saaana ila hapa nilipo natumia ARV.

You know what. Mbaba badala ya kusikitika ndio katoa boonge la tabasam akamjibu eti hata mimi ni muhathirika miaka mingi tu so no problem. Well huyo dada anadeal na issues fulani zinazomfanya akutane na mabosi wengi mostly kwa ajili ya grants. Hivyo aliamua kumuhifadhi huyo jamaa ila story alinimegea tulipokuwa tunaogelea magonjwa na kuwa wahathirika ni wengi na huwezi kuwajua kwa macho sababu ya ARV.

dah! Bora kujiajiri.

... Its your Great Patience which gave you all your wisdom and ability to confront HIM sqarely and put him where he belong!!!

D Amsi .. You have great charater hold on it ..die for it ... thank God for it!!!

... Its your Great Patience which gave you all your wisdom and ability to confront HIM sqarely and put him where he belong!!!

D Amsi .. You have great charater hold on it ..die for it ... thank God for it!!!

Asante barikiwa na bwana

Pole Dena! Me ningemchapa vibao kabla hata hajamaliza kusema. Sory kwa wazo hili ila sometimes huwa natamani ARV zisingekuwepo kwani to some extent zimeongeza tatizo. Najua ni haki ya kila m2 kuishi ila kuishi kwako kusiwe mauaji ya wengne. Kwa wasomaji wa bible nadhani mmeona tangu enzi na enzi, wagonjwa wa ukoma walitengwa na wazima cjui hii ya ukimwi wangetengwa kungekuwa na unafuu? INAUMA CUZ NIMEPOTEZA NDUGU NA MARAFIKI NA NAJUA WENGNE WALIAMBUKIZWA KWA MAKUSUDI na miji2 km hyo!

Kama huna cha kuchangia nyamaza na potezea kabisa huna haja ya kunipangia kuwa nianzishe thread kwa kipi.

Potezea kwa mbali na hujalazimishwa kusoma ebo??

Acha kujipaisha wewe! Ni Mwanaume gani ahangaike na mke wa mtu tena mwenye mitoto? wakati kuna spring chicken kibao mtaani? Kwanza wewe umepima? Afya yako mgogolo mtupu. Kutongozwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Grow up

pole sana DA nimesoma post yako hadi nimesisimka kwa woga..naona kama ni movie fulani hivi..nimeumia sana..siaminini ..yaani naona kama ungekuwa dada yangu ningekuhamisha mji au hiyo sehemu na kukubadilishia namba ya simu.. hutakiwi kukutana naye tena wala kuongea naye hata neno moja..please i beg you..kwenye suala hkama hili hakuna cha kunyanyapaa wala nini..nakuomba kama hunidharau uchukue ushauri wangu huu..you dont have to talk to him any more..by any means ..you have to stop this..nitafurahi sana kama utaweza kufanya hivi.. ..kwani mzaha mzaha hutumbuka usaha

Itakua huyo mgonjwa ameanza ukimwi umeanza kumpanda kichwani taritibu dena msamehe bure

Acha kujipaisha wewe! Ni Mwanaume gani ahangaike na mke wa mtu tena mwenye mitoto? wakati kuna spring chicken kibao mtaani? Kwanza wewe umepima? Afya yako mgogolo mtupu. Kutongozwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Grow up
Mchungaji bana.
Mi napita tu hapa

Acha kujipaisha wewe! Ni Mwanaume gani ahangaike na mke wa mtu tena mwenye mitoto? wakati kuna spring chicken kibao mtaani? Kwanza wewe umepima? Afya yako mgogolo mtupu. Kutongozwa wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Grow up

Mchungaji anasema yaliyoujaza moyo wake.

Nimeelewa kwamba kuna watu wameathirika na wanataka kuondoka na orodha ya wengine wengi.
We ulishawai kutongoza/kutongozwa? kama kweli unaelewa ukimwi ni nini utajua jua cha kufanya hapa!
humu ndani watu wanapiga kelele hata afya zao hawazijui na kila siku wanatongoza na kutongozwa

My concern ilikuwa why anitake??? Cause kuwa na HIV si kwamba kunamzuia kupenda au kusikia hamu ya kufanya mapenzi but kwanini asitafute mpenzi wakaelimishwa na kuishi vizuri hata kama ni negative + positive?? Mimi ananitaka wa nini kama sio kuniharibia?? Hazuiwi kupenda wala kuwa na mpenzi lakini ananitaka nifanye nae nini??? Ngono then what next?? Aaaahhh bana haifai
RED: Ndo mara ya kwanza kutakwa wewe au kisa unajua status yake?
Blue: Uharibiwe mtu na akili zako?

Mchungaji bana.
Mi napita tu hapa

Demu Kicheche huyu! Ogopa demu anayejitangaza eti ametongozwa! It's not funny dada descent hana tabia za kishenzi kutangaza tongozo ni wajibu kutongoza na kutongoza! Huyu anajipaisha tu

Mchungaji bana.
Mi napita tu hapa

Demu Kicheche huyu! Ogopa demu anayejitangaza eti ametongozwa! It's not funny dada descent hana tabia za kishenzi kutangaza tongozo ni wajibu kutongoza na kutongoza! Huyu anajipaisha tu

Nahisi kama hali ya hewa kwenye uzi huu inaanza kuwa ndivyo sivyo,twendeni nayo taratibu jamani,chonde chonde wana MMU tusije tukatoana ngeu. Yangu ni hayo tu.

Back
Top Bottom