Kulupango
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 288
- 535
Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena.
Msiwadekeze watoto na kuwafanya mayai, nyumba ambayo haina bakora iliyo ning'inizwa juu ni nyumba isiyo na maadili na pia ina malezi mabovu kwa watoto. Nimeshuhudia visa vingi sana ikiwemo dogo kumchoma na pasi mtoto mwenzake, mtoto kunyea chakula, kumtoboa jicho mwenzake, kuvunja vitu vya ndani makusudi na mzazi anakenua meno tu, n.k chukua uwamuzi huu mapema sana mvizie siku 1 ambapo atarudia kufanya jambo ulilomkataza karibu mara mia laki hasikii, m'butue kofi moja matata sana, utakuja kunishukuru.
Mtoto anayepiga makofi wageni au kuwanenea wageni maneno mabaya sijui 'toka kwetu, unanuka mdomo, utakula chakula chetu, utalala kwetu''. Washughulikieni mapema kabla hawajakuwa panya road. Mara nyingi watoto watundu ni wale ambao nyumba zao hazina dini au mienendo ya kiimani.
Tahadhari, kuna tofauti kati ya mtoto mtundu na mtoto mtukutu. Mimi nazungumzia mtoto mtundu