Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

Duuh hapo unamtoa wenge sio kurestore brain!
In Sabaaya voice!
 
Naunga Mkono Hoja..Toto Tundu...Toto tukutu...Halisikii ..Zibua Mbata au Kofi la Masikio hadi anasikia Sauti kwenye Masikio 'Nziiiiiiiiiiiii' Nakuhakikishia hawezi rudia Upuuuzi.
Mmh asijekua kiziwi ukampa kilema cha maisha , yaani wewe na mtoa mada hamfai kuachiwa watoto watakuta wote wame R.I.P😂😂😂
 
Mmh asijekua kiziwi ukampa kilema cha maisha , yaani wewe na mtoa mada hamfai kuachiwa watoto watakuta wote wame R.I.P😂😂😂
Ujue linalozungumziwa hapa ni toto 'tundu' ukilichekea ndo Linakuja kuwa Panya Road... !

Waswahili walisema Ukimchekea Nyani Utavuna Mabua...! Mleta Mada yupo Sahihi..!
 
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimejikuta nacheka sana kwenye huu uzi
 
Hiyo ni unamfanyia reset tu je ukitaka kutoa betri si ndo utamlamba Kofi la tumbo,siku hizi Kuna vijana wameamua kujiajiri kwa kuuza fimbo nzuri za kuchapia basi nunua hata moja Tsh 100 umpanguse nayo...
 
Nimeona huu uzi nikaufurahia sana,sababu ni leo tu jiran yangu mmoja ,kwa umri ni dada..ana mtoto wake drs la 5,mtundu,au mtukutu japo sijui kutofautisha.
Anaiba nyumban chench chench,akaenda sehem ya biashara mama yake anapofanyia,anaruka ddirisha pia anaiba pesa hata za wengine humo ndani.Inasikitisha mana mama yake kapewa notice na kuondoshwa kwenye ile ofisi.
Mtoto hasikii ,kapigwa mpaka uongozi wa mtaa ukaingilia kati(kuwa anafanyiwa ukatili),wazazi wameacha sasa wanamtazama kwa huzuni.
Shule anaenda,ila siku si za shule,hashindi nyumban,anaweza ondoka asubuh,kurudi saa tano usiku.
Naomben ushaur gani nimpe huyu jirani.
Ampeleke akaombewe, hilo ni pepo.
 
Ujue linalozungumziwa hapa ni toto 'tundu' ukilichekea ndo Linakuja kuwa Panya Road... !

Waswahili walisema Ukimchekea Nyani Utavuna Mabua...! Mleta Mada yupo Sahihi..!
Panya road au teleza mtarajiwa[emoji23][emoji23]
 
am 100% huna mtotot
but siku ukipata mtoto hasa ile mimba ya kusumbua kwenda kununulishwa juice ya ndimu saa 9 usiku,kamwe huwez andika upuuzi huu
Mwisho wa siku mtoto anakuwa shoga angali mdogo,kahaba angali mdogo ..chenjeu,kichwa mchungwa,jeuri nk nk ..kisa uchungu

Kuna dogo alikuwa anaharibiwa na mother wake ila bro wake akawa anampelekesha kijeda mwisho wa siku walinusuru dogo wao asiwe shoga ila ilibakia kidogo wamkose
 
Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha .......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh hilo kofi lisije kum R.I.P mtoto bure, mchape fimbo za miguuni tu, ila pia unaweza kuongea kwa ukali akajua umekasirika akaacha, nakumbuka bimkubwa alikua akiniangalia tu naanza kuomba msamaha mwenyewe. Macho flani hivi makalii
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kabisa hapo nyuma anaposema kuna medulla oblongata, Kofi au ngumi ikiangukia hapo baasi kifuatacho ITV ni watu kuimba mapambio, kula wali na wewe kupata makazi mapya keko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga Mkono Hoja..Toto Tundu...Toto tukutu...Halisikii ..Zibua Mbata au Kofi la Masikio hadi anasikia Sauti kwenye Masikio 'Nziiiiiiiiiiiii' Nakuhakikishia hawezi rudia Upuuuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh asijekua kiziwi ukampa kilema cha maisha , yaani wewe na mtoa mada hamfai kuachiwa watoto watakuta wote wame R.I.P[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwisho wa siku mtoto anakuwa shoga angali mdogo,kahaba angali mdogo ..chenjeu,kichwa mchungwa,jeuri nk nk ..kisa uchungu

Kuna dogo alikuwa anaharibiwa na mother wake ila bro wake akawa anampelekesha kijeda mwisho wa siku walinusuru dogo wao asiwe shoga ila ilibakia kidogo wamkose
Ushoga hauhusiani na hii mada, wee vipi
Mbna unachanganya madesa.
 
Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena.

Kwenu JF Moderator

Ni ajabu sana kwa moderators wa JF kuendelea kuuacha huu uzi hewani pasipo ama kuondoa hayo maneno au kuufuta uzi wenyewe...

Kitabibu mwanadamu akipigwa maeneo tajwa, ni hatarishi kwa uhai, afya ya ubongo kwani huweza kupelekea mtu kukata pumzi, kupooza au kwenda katika comma...

'Please Junior don't do that...'
'... Junior don't do this...'
'Junior usimchezee Uncle...'

😂😂😂🤣😅
 
Back
Top Bottom